Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

Vipi, Mtukufu Rais wa wanyonge dokta muweza wa yote, alienda kumtembelea.?! Au mtukufu sana kazi yake kuua tu. Kama ni hivyo basi, ni heri ya hao MABEBERU/WANAUME wana chembe za utu.
 
kimetusikitisha
Tunajiuliza
Tunamshauri

Samahani mkuu ni wewe na nani hapo Lumumba mliofungua huu uzi???
 
Hiyo ni chuki tu kwa kuwa umefundishwa chuki ila ni vyema ukatambua hakuna siku marekani waliitisha kongamano la kitaifa kuishambulia Heroshima na Nagasaki! Isitoshe mnayemwita ndugu yenu leo si wewe wala rafiki zako mliopata hata wazo la kuikumbuka familia yake na yeye katika kipindi hiki ambacho watawala wako wenye roho nzuri na ambao hawatengenezi silaha za maangamizi wameona hata haya kutamka jina la nduguBanda!
 
Mnaonaga watanzania wajiiinga ati, wewe usiye na hatia umemtembelea mara ngapi mjane huyo? Anahitaji msaada hata kama si pesa japo ushauri. Mengine muwe mnanyamaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na je akienda kuzindua barabara ya Tunduma sumbawanga au wodi ya watoto pale muhimbili iliyojengwa kwa ufadhili wao je hapo anakuwa si yule wa Libya? pole ndugu kama vyeo vinatafutwa hivi basi mimi acha nibaki kijijini
 
Hiyo roho hawaja wahi kuwa nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…