Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

Hapo kuna ushindi gani kwa mtu aliyepotezwa kuuliziwa? Au unafahamu lolote? Mana kwa hali ya kawaida ya ubinadamu hata wew ulitakiwa ulifikirie hili. What a waste!!
Kinachofurahisha sana kuhusu harakati za Nyumbu ni kuwa hiki nacho kinaonekana ushindi kwao..what a waste!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damu ya hatia hawa magaidi itawalilia hadi mwisho wa maisha yao japo wanna kila kitu wamenyimwa furaha ya moyo ndio utajiri namba moja.
 
Sasa wakati umewadia ili FBI waje kufanya uchunguzi wa Azory Gwanda Ben Tundu Kissu na wengine wengi waliofanyiwa ukatili na CCM

Sisi kama Taifa kumeshindwa kabisa na Polisi walishakiri kuwa hawawajui hao wasuojulikana
Zitafanyika mbeleni huko siku zaja technology utunza historia.Peves Musharaafu ,bashiru nae kahukumiwa kifo sio kwa makosa ya Jana bali ya juzi.
 
Mbona hajaenda kuwaona wana ccm zaidi ya 40 ambao waume zao walinyongwa na maiti zao zikaonekana? Watapata taabu sana kumbuka pia kuna askari police zaidi ya 10 walikufa wakilinda raia huko kibiti je ameenda kuwaona? Huyo afukuzwe kama yule wa zambia.
Afukuzwe kwa kwenda kumuona mjane, what a silly mental work.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaimu balozi akimaliza kwa huyo mama atafanya vyema akienda kuwatembelea wajane wa Askari waliouawa na magaidi kwenye Hilo eneo la Azory Gwanda alilolitembelea.Ambalo ingekuwa kipindi kike ugaidi unaendelea Wala asingethubutu kukanyaga hapo.
Azory alikuwa mwandishi wa magaidi.Kazi yake ilikuwa ku promote ugaidi kupitia gazeti la Mwananchi .Kwa kuandika jinsi.magaidi wanavyofanikiwa kuua viongozi wa CCM na serikali ,polisi ,kuteka vituo vya polisi nk
Alikuwa ndie Spokesman wao na gazeti la habari zao lilikuwa Mwananchi na wasemaji wao bungeni walikuwa Akina zitto.kabwe na chadema
Kwa hiyo hukumu yake ikawa kupotezwa, ndivyo sheria zetu zinavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nakosa kuelewa uhusiano hapo. Kulikuwa na mauaji/ ugaidi maeneo ya kibiti sawa. Lakini je, yeye Azory Gwanda alihusika na kipi hasa mpaka watu 'wasiojulikana' kwa jinsi tujuavyo sisi / Mimi wampoteze? Au alikuwa mwandishi halafu akawa anashirikiana na magaidi? Interest ya 'wasiojulikana' ni IPI kwa mwandishi wa habari wa kawaida?
Huenda alikuwa anashirikiana na magaidi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo azori hakuna anaejua yuko wapi labda alitekwa na magaidi au alikimbia nao kwenda huko kwao maana hakuna wakulaumiwa hapo na police uczani imelala bado inafatiria
Kauli yako inapingana na mwenzako Babarosa, yeye anasema ilibidi ashughulikiwe kama magaidi walivyoshughulikiwa, hamkukaa kikao cha jinsi ya kujibu hapa JF?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom