Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

Mke wa Mwandishi wa Habari Azory Gwanda Kutembelewa na Kaimu balozi wa Marekani

wamalize kuchunguza na kutoa matamko kuhusu weusi wote wanaouawa na polisi nchini kwao
Black Life Matter......
Sasa wakati umewadia ili FBI waje kufanya uchunguzi wa Azory Gwanda Ben Tundu Lissu na wengune wengi waliofanyiwa ukatili na CCM

Sisi kama Taifa tumeshindwa kabisa na Polisi walishakiri kuwa hawawajui hao wasuojulikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaimu Balozi ukimwangalia usoni kuna ujumbe munene unasomeka
Ameogopa Amemuonea huruma sana huyu mama Ameumia sana
Majibu tutayapata siku za usoni
** Journalist Kabendera yupo BBC News leo
Acha tuzidi kuchanga karata karibu tunaokota galasa
Mpelekeni kwa mke wa kamanda mawazo au yeye si binadamu?
 
Niulize swali kwanza, hivi alishaendaga kusalimia pia wajane wa marehem waliouwa kibiti na magaidi?

..Je, ccm imewatambua popote pale wajane au familia zilizopoteza wapendwa wao kutokana na kushambuliwa maeneo ya mkiru?

..Je, ccm imesema kwamba waliokuwa wakiua viongozi wao ni magaidi? Au imeamua kufanya suala zima kuwa siri?
 
Kaimu balozi akimaliza kwa huyo mama atafanya vyema akienda kuwatembelea wajane wa Askari waliouawa na magaidi kwenye Hilo eneo la Azory Gwanda alilolitembelea.Ambalo ingekuwa kipindi kike ugaidi unaendelea Wala asingethubutu kukanyaga hapo.

Azory alikuwa mwandishi wa magaidi.Kazi yake ilikuwa ku promote ugaidi kupitia gazeti la Mwananchi .Kwa kuandika jinsi.magaidi wanavyofanikiwa kuua viongozi wa CCM na serikali ,polisi ,kuteka vituo vya polisi nk
Alikuwa ndie Spokesman wao na gazeti la habari zao lilikuwa Mwananchi na wasemaji wao bungeni walikuwa Akina zitto.kabwe na chadema
 
Bila magaidi kudhibitiwa akiwemo Azory Gwanda huyo kaimu balozi asingekaa sebuleni hapo kwa Raha na mustarehe hivyo
 
Mimi nakosa kuelewa uhusiano hapo. Kulikuwa na mauaji/ ugaidi maeneo ya kibiti sawa. Lakini je, yeye Azory Gwanda alihusika na kipi hasa mpaka watu 'wasiojulikana' kwa jinsi tujuavyo sisi / Mimi wampoteze? Au alikuwa mwandishi halafu akawa anashirikiana na magaidi? Interest ya 'wasiojulikana' ni IPI kwa mwandishi wa habari wa kawaida?
 
Akitoka kwa mama Azori aende na kwafamilia za wana ccm ambao waume zao walikatwa vichwa huko kibiti bila kusahau familia za maaskari waliopigwa risasi wakitulinda sisi laia huko kibiti, asikomee kwa huyo mama tu.
 
Mimi nakosa kuelewa uhusiano hapo. Kulikuwa na mauaji/ ugaidi maeneo ya kibiti sawa. Lakini je, yeye Azory Gwanda alihusika na kipi hasa mpaka watu 'wasiojulikana' kwa jinsi tujuavyo sisi / Mimi wampoteze? Au alikuwa mwandishi halafu akawa anashirikiana na magaidi? Interest ya 'wasiojulikana' ni IPI kwa mwandishi wa habari wa kawaida?
Huyo azori hakuna anaejua yuko wapi labda alitekwa na magaidi au alikimbia nao kwenda huko kwao maana hakuna wakulaumiwa hapo na police uczani imelala bado inafatiria
 
Back
Top Bottom