GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watauwana na waache wauwane
 
Wiki iliyopita tumeona picha ya gari la mgombia uongozi, na malalamiko kuwa vifungia matairi - nati zilikuwa zimelegezwa
Bada picha za waendao kwa waganga na chini ya mibuyu mikubwa hazijaanza rushwaaa

Uchaguzi upite tuu - kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Na wote tuseme AMEEEEN
 
Acha yamalizane yenyewe kwa yenyewe kwanza , bladifakens bastards . Yaani moyo wangu unajawa na uchungu nikiwaza roho za watu kama akina Mdude ,Chaula ,Soka nk zilivyopotezwa kihayawani na hawa mbwa koko na hakuna accountability mpaka leo , natamani nivae bomu niende nikayateketekeze kabisa , shenzi sana .Hii nchi inaongozwa na mahayawani
 
Mambo yanayo endelea ni makubwa sana na yanatishia usalama wa nchi ndani ya CCM.

Hawa ndio wanaoenda kuongoza nchi kweli lazima tujiulize kwa haya wanayo yafanya ni viongozi bora kweli ?

Cha kushangaza mwenyekiti na viongozi wa juu wa chama wao wapo kimya tu nimesikia wanachama wao wengine wamekamatwa na TAKUKURU.

Mpinzani wa raisi yupo gerezani, wengine wamefungiwa makanisa, wengine wamefukuzwa uanachama je mambo ni yale yale kwenye chama kizima sio kwa mwenyekiti sio kwa nani ndio maana mwenyekiti wao yupo kimya.
 
Wahuni bado wapo wengi sana huko CCM. Wanaccm zingatieni ushauri wa Polepole ili kukinusuru chama chenu na hali mbovu iliyopo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…