Hapa yuko sahihi kabisa. Mm mume wangu huwa akichukua hata mia yangu ujue huo ni mkopo, atarudisha tu.
Hapa jiandaye, soon atakuwekea sumu kwenye msosi. Kilicho moyoni mwake ni wewe kurest in peace.
Then yeye kwa kinywa chake kaniambia sasa ameelimika wanawake wenzie wamemwambia pesa yao na ya mime in anga na mbingu yaani pesa ya mke in mke na mume ni ya familia KANIAMBIA KATIKATI YA MGOGOROPole sana kaka..haya mambo kwenye ndoa yapogo sana tu..
Mosi mkeo humridhishi kwakila.kitu.unamchukulia poa poa tu😏
Pili amepata wa kumshika sikio
Tatu..ameanza kuchepuka (huu ni ukweli zaidi) na huyo sio mzoefu wa kuchepuka ndo kaanza..mwqnamke mzoefu kuchepuka anazidishaga mapenzi ndani...aso mzoefu huwa bi bora liende...ss km ww ni kidume kweli jitahd kumrudisha kwenye mstari kabla haijawa worse zaidi😊😊...akizoea kuchepuka imetoka hyo..
Jingine... punguza gubu una vitu vingine bas mwambie ht dada wa kazi...inaezekana uliongea kwa nguv had wagen wkqsikia...nan anapenda kuumbuliwa hvyo...
La mwisho aisee hongera..unamsaidia mkeo kazi??jaman jaman jaman...sie wengi ht handkerchief hawafui😏😏..ww acha kumsaidia kaz as amesema mwenyew...!
la mwisho usitegemee hela ya mkeo..ila ina bahati.sana...wengine hapa tumegawana majukumu pasu kwa pasu...
UMENIVURUGA😣😣
Hakuna kuvumilia tena hapo. Ya nini kuumizana moyo kwa muda mrefu? Mpaka kufikia hatua hii huyu jamaa ameshaumiza sana moyo wake,kama anavyouliza kufuliwa,kupiga pasi. Amwambie tu aende zakeyah inawezekana lakin sometim ajarib kwanza kumvumilia coz ndoa ni ndoano!!
Hujaelewa anataka niendelee kufanya kazi zile za kumsaidia Mimi namwangalia tuu Jana kaenda zake hukoo karudi kakuta kama alivyoacha nimewapeleka wanangu hotelini kula yeye karudi kalia usiku mzima na kuzimia kidogo usiku nikambembeleza akaniambia kwanini tunaishi hivi nikanyamaza kimya coz naweza sababisha madharaNadiriki kusema ndo ujinga wako ulipo!
Hupigi show za kibabe, unakimbilia kuosha masufuria jikoni eti ndo mahaba!!! Hakyanani nimetamani kukutukana!! T.mba sana huyo utaona anarejea kwenye mstari aliokuwepo. Yaani unampotezea mkeo anapotaka haki yake ya ndoa!?? Umezingua saana
Kafanyaje naeee tenaDakika kama 10 nimetoka kumchapa makofi huyu wa kwabgu......sipendagi ujinga hasa wa kujibizana na mwanamke.
.
.
Fukuzia mbali jinga huyo.
Unajua vizuri maana ya kuwa na NDOA na kufunga NDOA!?? Km hujui hiyo ndo maana yake na huenda yeye ndiyo kakushawishi kufunga NDOA.Iko hivi mwaka 2008 tulibahatika kupata mtoto bila ndoa 2014 tukapata mwingine bila ndoa ila mwaka 2016 tukabariki ndoa na sasa tunaishi kwenye ndoa ya watoto watatu sasa hivi huyu mke amekuwa na maneno makali ya kuchoma moyo na mwili
mfano
1.nilimwambia jana mbona nguo chafu na hapo jikoni hapako vizuri na nasema hivyo coz kulikuwa ma wageni watakuja kututembelea akaniambia mwanaume wewe una gubu
2.ananiambia nimemweka kifungoni nimemfanya mjinga sana kwa mda mrefu ila sasa ninajitambua
ananiambia hivyo baada ya kumwambia tuweke mahesabu sawa kati ya fedha take na yangu kwa ajili ya maandalizi ya watoto shule january alikuwa mkali kama pilipili na hajawahi kuniambia maneno aliyoniambia
mfano;
Miaka yote pesa yangu sina uhuru nayo nimesomeshwa na wazazi wangu kwa ajili ya faida yao na siyo kwako na matoto yako kwa ujue utawapeleka vipi matoto yako shule pesa yangu achana nayo kabisa kama unataka uje uniombe
hapa nikamjibu haitatokea kumwomba kama amechoka watoto anipe wanangu
3.Ongeza hawezi mapenzi ya kubembelezana bembelezana sijui nikupetipeti sijui nikulambe wapi ukiyataka hayo katafute wenye nayo kwangu hutoyapata na ukitaka kaoe kabisa ila ujue watoto wao na akaongeza siogopi kuachwa hata kidogo na ungejua kilichopo moyoni mwangu(kwake mke) ungenyamaza tu
Huwa nina kawaida ya kumsaidia kazi za ndani kama kuchota maji,kufua,kupika, sasa jana kaniambia wala sitaki unisaidie vikazi unavyonisaidia.
then wenzangu mlioko kwa ndoa na mna watoto siyo chini ya watatu nguo zenu zinanyooshwa na wake zenu au nyie wenyewe,viatu au makobazi yanafuta na kupakwa ranging na mke au nyie wenyewe.
je maji ya kuoga mnapeleka wenyewe au mnapelekewa mimi nafanya vyote hivyo mwenyewe .
Anasema hayo yote then asubuhi analia tu na kusema yaishe nashindwa hata kuelewa anataka nini anafikiri nini na matarajio yake nini
Miaka miwiliBro, wewe na yeye mnapishana umri gani!?
Hata miye nadhani tayari shakufaWengi waliofikia stage yako wameshafiriki kutokana na msongo wa mawazo au wivu wa mapenzi kwa kung'ang'ania kupenda..
Unavuna ulichopanda; na kama ulichopanda unakiona kinakupa matunda usiyoyataka ruksa kung'oa na kupanda kingine.Niko nasubiri maoni yenu nitayafanyia kazi
Casablanca nimekupenda bureee
wrong assumption
Ni jinsi tuu unavyomlea mkeo ukikosea inakula Kwako na wanaume wengi ndio wanapokoseaga apo tu. Ila pesa ya mwanamke ni pesa ya familia.mnapohamasisha watu waoe wanawake wasomi au kuwapa mitaji ndio nini tena. Umaskini hautaisha kwenye familia nyingi za kiafrika . Wazungu wenzenu wanashare kutunza familia. Ndio maana Wazungu husema wanawake waafrika ni wajinga huwa hawakosei . Ni wajinga sio Kwa Hilo tuu ni mambo Mengi Mengi tuu. Na umaskini utaendelea kuwatafuna. Kumuwezesha mwanamke ilikuwa nae achangie kupunguza umaskiniPesa ya mwanamke ni ya kwake hilo kataa au ukubali ila ukweli ndo huo ukitaka kupindisha we pindisha tu........kama mnadhani madai ya mtoa mada yapo sahihi mwambieni aende mahakamani akamshitaki mkewe halafu alete mrejesho hapa
Kwani kabla ya dini kuja watu waliishije. He wangapi wamefunga ndoa makanisani mwisho wa siku zimevunjika. Ni jinsi mtakavyoweza kuishi pamoja na kuvumiliana. Utandawazi pamoja na haki Sawa ndio iliyoleta madharaUlipomzalisha bila ndoa ndio ulipomkaribisha shetani kwenye muunganiko wenu, anaamini usingemzalisha na kumfanya awe anakufuata fuata kuficha aibu labda angepata mwanaume Bora kuliko wewe... Mkaombewe, shetani anamnong'oneza maneno mkeo ya kumtia hasira ili awasambaratishe na watoto waishi maisha mabaya wasifikie mafanikio waliyopangiwa na Mungu.
Ndoa ya Kwanza Ina baraka, ukioa mwingine unaweza ishia uzee wa mateso.
Daaa hii kauli ni ngumu sanaAna buzi huyo ndo maana kasema "laiti ungejua niyawazayo, ungekaa kimya"