Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Kwanini tusisaidiane hapa ili na wengine wajifunze kupitia mawazo yako sorry
Mkuu unatakiwa kutafuta vitabu ambavyo vitaeleza misingi yote ya ndoa ...haki za mume na mke pia ....kila kitu utakipata huko
 
Unataka tuwe honest, Amepata jamaa anamzuzua, ndio maana sometimes anakuona takataka sometimes anajutia majibu yake kwako hiyo ni kwaajili ya watoto tu, sio wewe.
Tatizo sijui kwa vile namwmini sana coz nilianza nae akiwa mdogo kabisa akiwa hajawahi kuwa na mwanaume so nitakuwa najidanganya kumwanamini hawezi kuwa na mwanaume mwingine according na anavyokuwaga busy na mambo yake na anavyojiweka na huwa ananiambiaga hana jipya LA kutafuta kwenye sex
 
Simba mwenye vazi la kondooo; iko hivyo ni mtu lazima anamzingua iweje iweje; utasikia wanasema wameshawishiwa utadhani hayana akili

 
Ndoa Ni Kama safari ya kiangazi aafu mnatembea kwa miguu.
Wale waliokulia vijijini wananielewa.
Asubuhi na kabaridi aafu nguvu ipo safari tamu kweli.
Jua linapozidi kukolea kila mtu anaanza kuchoka kwa njaa, kiu, ukali wa jua nk.

Wengine wataendelea
Wengine wataishia njiani
Wengine watasimama kidogo na baadaye wataendelea na safari nk.
Chagua upande utakaokuwa.

Lakini furaha yako inapopotea ni afadhali kuachana na hiyo safari kabisa.
Unaweza kuta unafikia jela
 
Fanya hivi ikifika usiku piga nyeto huku anakuangalia ukimaliza jifute ulale ndani ya siku 3 atajuwa we ni BAHARIYA
 
Mtoto wako1 tu hapo
 
Anafanya kazi na huwa anakuwaga na vitimbi vitimbi sana Mara bora nice oooh bora nisingezaliwa Mara anipige mategee na mangumi namwangalia tu Mara Sikh engine aniambie toka kwenye nyumba yangu wakati nyumba yenyewe nimepanga Mimi
 
Kwanza, ndio watu wajifunze kwamba huo utaratibu wa kuishi kimada na mwanamke kwa miaka hata minane ili ati kusomana tabia hausaidii kumjua mwanamke vilivyo. Mwanamke utamjua akishakuwa ndani ya ndoa na kukita mizizi kwa kuzaa nawe watoto kadhaa.

Pili, mkeo ktk habari ya pesa yake yuko sahihi. Inaonesha alikuzoeza maisha ya kitamthilia ya kukufanya uwe na amri na pesa yake. Wakati ule alikuwa atafuta ndoa. Sasa alishaipata. Anahitaji atumie pesa yake anavyotaka mwenyewe akiwasaidia wazazi wake waliomsomesh, na kwa hili yupo sahihi. Ni jukumu lako kuhudumia watoto wako kwa mavazi, chakula, makazi na elimu. Ukikwama kopa kwa rafiki zako.
 
Tatizo dogo hilo,anataka mapenzi ya zamani kama alipokuwa binti.Weka bajeti ndogo toka naye 'out' kama ndio mnaanza mapenzi,kesha naye lodge/hotel, na gonga hiyo kitu kama muhuni vile...hapo lazima ajirudi na kukupa heshima.
 
Hiiyo ndo huwa inaitwaga "midlife crisis " , Baada ya muda atarudi sawa
Mkuu kalou umenena vyema! " midlife crisis/ sometimes known as crazies age" ndo mda ndoa nyingi zinavunjika!! Kwa wenzetu wazungu huwa mwanaume anasafiri na age mates ili akae na wife
 
utakuwa ni mmoja wa marafiki zake mke wa OP wanaompa kichwa na kumpoteza wakati ndoa zao zimewashinda ama hawajaolewa kabisa, kama wewe tu.
 
utakuwa ni mmoja wa marafiki zake mke wa OP wanaompa kichwa na kumpoteza wakati ndoa zao zimewashinda ama hawajaolewa kabisa, kama wewe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu naee itakuwa wale wale...
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…