Mke wa ndoa anaposema maneno haya anamanisha nini ?

Haya sasa,...akiwa rojorojo atachukulia serious huu ushari wako...bad
Kama akiwa anaipenda ndoa yake atayafanyia kazi maneno yangu ila kama akichukulia poa basi apotezee.
 
Amechoka hayo maisha wenzake wanamaisha mazuri nyie ni mko pale pale wala hampigi hatua ndio maana anagomba na wewe wala huoni sasa ndio anareact wenzie wanaume zao kila mwaka wanajitahidi wanapiga hatua wewe hujitumi chapa kazi acha kujishaua jf ni ya vijana ambao hawana majukumu.
 
Fanya uchunguzi ujue nini chanzo kisha nenda kwa aliyekufungisha ndoa mweleze ukiwa na uhakika wa yale utakayo mueleza.
 
Ila nijuavyo mimi....dawa ya moto moto...piga hadi wajukuu zake na usiwe na mapenzi ya kizungu Africa!!
 
Anafanya kazi na huwa anakuwaga na vitimbi vitimbi sana Mara bora nice oooh bora nisingezaliwa Mara anipige mategee na mangumi namwangalia tu Mara Sikh engine aniambie toka kwenye nyumba yangu wakati nyumba yenyewe nimepanga Mimi
Pole sana mchunguze zaidi kuhusu mahusiano yake huko nje na aina ya marafiki aliokua nao kuna kitu hakipo sawa mkuu

Vinginevyo fuatilia utimamu wa afya yake ya akili, pengine yaweza kua ana stress, mawazo au kunajambo kubwa linamkabili au kalifanya lina mu haunt sasa!
 
duh una ndoa kweli ww??
 
Reactions: Qwy

Nilikuwa nnakuheshimu sana, japo haileti tofauti yoyote nimekudharau sana
 
Kwanza nikupe pole, halafu huyo mwanamke amelishwa maneno na mwanaume mwingine baada ya kumpa siri zote za ndani. What to do, tafuta mqanamke mwingine mshiti kabisa ikiwezekana mda mwingine usirudi kulala nyumbani hata siku 2. Na ukirudi akikuuliza mwambie asikufuatilie, wala usimwambie ulikuwa kwa mwanamke. Mwambie tu kazi zilinibana ofisini ndo maana hujaniona siku zote hizo. Akikuuliza mpaka unalala huko huko kazi gani hizo. Mwambie ndo utaratibu mpya umejiwekea.
 
Nilikuwa nnakuheshimu sana, japo haileti tofauti yoyote nimekudharau sana
Hahahahahahhahahahahaah hata ukinidharau haitobadilisha ukweli kwamba pesa ya mwanamke ni yake na si vinginevyo hamna haki ya kuipangia matumizi ni hilo tu .......haya unaweza kuendelea kunidharau ni ruksa sababu huniongezei wala kunipunguzia chochote


Asante kwa ushirikiano
 
Wewe ni mwanaume suruali na hutakiwi wala kusema lolote kwake kwa kuwa ulimwanzisha vibaya hukujijua wewe ni Nani!

Hivi unajua ukimsaidia MTU kazi unakuwa msaidizi wake ? Kama ni mwanaume umeambiwa utafanyiwa msaidizi wa kufanana na wewe badala wewe akusaidie unamsaidia wewe maana yake yeye ndo mumeo na wewe ni mke wake.

Mimi nilipiga marufuku kunambia nimsaidie nishamwambia ukiwa umechoka na kuna kazi nambie nimechoka kuna kazi hizi kama ninatime nitazifanya maana ni zangu marufuku kuniambia nikusaidie Mimi siyo mkeo.

Nilikuoa nikiwa najua kufua ,konyosha, kupika zaidi yako na vingine vyote kwa hiyo nilikutoa kwa baba yako na mama yako uje kunisaidia siyo unisaidie wewe mwambie house girl akusaidie siyo mie .

Mke lazima utumie uanaume wako na akili yako ajue unachokiongea unakielewa na kukifanyia kazi

Mwanaume unalialia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…