Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
32,386
Reaction score
83,431
Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai .

Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia.

Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama.

Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
 
Atulie kama maji ya mtungini,wakati mumewe ni spika, yeye alikuwa DED bahi,mwendo wa, kula bata, mumewe alipokuwa anaumiza watu, alikuwa, Kim ya, sasa, alete fyoko kwa maccm, akutanishwe na, mafwele!
Nafikiri hakujua ccm ni kama drug Mafia, ukiwa memba, hutakiwi kusema yanayofanyika ndani, ukienda kinyume, unauliwa, mjane awe mpole, ale maisha bila hivyo Hilo ghorofa la kongwa, atalikimbia
 
Mke wake si atapata 80% ya maslahi ya ndugai mpaka afe??
 
Huyo akionewa huruma na mzazinwa soka ataonewa nini?
 
Back
Top Bottom