DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
🤔fear of unknown na kumpa guilty.
Atulie kama maji ya mtungini,wakati mumewe ni spika, yeye alikuwa DED bahi,mwendo wa, kula bata, mumewe alipokuwa anaumiza watu, alikuwa, Kim ya, sasa, alete fyoko kwa maccm, akutanishwe na, mafwele!Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai .
Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia.
Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama.
Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.