Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 530
- 1,446
mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na Wanawake wa nje ameamua amletee mwenyewe ili arahisishe mambo
" Nilimletea Wanawake Wawili ambao ni Sexy sana warembo kweli kweli kipindi hiki Cha ujauzito mpaka siku ntajifungua. Wanawake hao walikua wanakuja wakati mume wangu akihitaji tendo kutoka kwangu .
Lakini nilipojifungua na kupumzika vya kutosha Wanawake hao waliondoka na nilifanya hivo kwa sababu sikutaka mume wangu afuate nje Bora nimletee ale mwanamke ambae nimemchunguza ili asilete virusi ndani ya nyumba yangu 😁" alisema mke wa Neyo
Vp wadau hii kwenu imekaaaje ,😂
Credit - daniellokamacheki