Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kuna sababu nyingi sana za kwanini mwanaume ameruhusiwa kuoa wake wengi,moja wapo ni hiyo kukidhi haja yake ngonoUpo sawa kabisa lakini hiyo sheria iliwekwa ili kumpa mwanaume wa kiislamu uhakika wa kupata sex kwa wakati au kuzidhibiti tamaa zake za ngono haswa akiwaona wanawake wengine nje
Mfano kuna siku niliwaona muislamu akisema katika hao wake wanne ujitahidi wawe wenye mionekano tofauti haswa inayoendana na vitu unavyovyipenda..
Swali kubwa, wazuri hawaishi na ni wengi je, mtu ambaye ameona mmoja, wawili na watatu hawamtoshi hadi akaongeza wanne. Je, huyu mtu atasita kuwakwa tamaa kuongeza watano au wa sita
Na kama dini haimruhusu honi kama mtu wa aina hii ni ngumu kuzizuia tamaa zake za kuzini
Pili wanawake wana complication nyingi sana,wengine mimba ya miezi minne tu yupo kitandani kwa uangalizi maalumu,je hapo mume atakidhi wapi haja zake
Kuna wanaume wengine wamejaaliwa nguvu sana kiasi kwamba mke mmoja hamtoshi,yani inakuwa mateso kwa mke ni bakora daily,hapa wakiwa wawili wanasaidiana
Kuna wanawake wajane na walioachwa hawa wote wanaweza kustiriwa na kuolewa tena
Vile vile idadi ya wanawake ni kubwa kuliko wanaume,hivyo je hawa wengine wataolewa na nani,haya hapo bado hujapunguza idadi ya wnaume ambao ni mashoga,wanaokufa vitani na kadhalika,mfano marekani pekee takwimu zinasema kuna mashoga milioni 25 kati ya watu milioni 300,je hao mashoga miliona 25 imewafanya wanawake wangapi wawe malaya tu mitaani?
All ni all na bora zaidi uchague wanawake ambao unawapenda au watakidhi test yako,kama cheusi sawa,cheupe sawa,bonge sawa nakadhalika
Sasa kwa vyovyote vile iwe una mke mmoja au wengi,zinaa haitakiwi,nafsi siku zote ni yenye tamaa,hata ukipewa wanawake mia bado utatamani wengine,kikubwa ni kuidhibiti nafsi na kuishi katika mipaka ya Allah
Asante