grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Sasa Kwanini huyo Mungu wenu hakuumba idadi ya wanawake Bilion 16 na wanaume Bilion 4 ili tupate wake wanne kila mtu ? Mbona wanaume Ni Bilion 4.1 na wanawake Ni Bilion 3.9? duniani au Kwanini wanawake tz Ni Milion 31 wakati wanaume Ni Milion 30😅 uliza ulete majibu sitaki mihemko
1. Takwimu huwa ni estimation (population estimation programme) huwa hazitoi accurate number ya watu maana kuna gaps nyingi sana huwa haziguswi mfano vipi kuhusu uncontacted tribes?
2. Tukiangalia kihistoria majority ya wanaopigana vita huwa ni wanaume na wanaokufa huko vitani ni wanaume pia wanawake huwa wanakuwa assimilated kwenye jamii mpya iliyoshinda vita hii ya kusema wanawake ni wachache kushinda wanaume bado haijaniingia akilini.
3. Unampangiaje Mungu kuumba idadi ya watu unaowataka wewe? Yeye ni Mungu anaumba kwa atakavyotaka na idadi atakayoitaka yeye hana wa kumpangia , tukianza kuweka kwanini kwanini kwenye kila swali linalousu maamuzi ya Muumba utajikutaunakosa majibu UNAYOYATAKA .