Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

Mke wa Ne-Yo amletea mume wake Wanawake waku Sex nae nyumbani

View attachment 3138902Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe

mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na Wanawake wa nje ameamua amletee mwenyewe ili arahisishe mambo

" Nilimletea Wanawake Wawili ambao ni Sexy sana warembo kweli kweli kipindi hiki Cha ujauzito mpaka siku ntajifungua. Wanawake hao walikua wanakuja wakati mume wangu akihitaji tendo kutoka kwangu .

Lakini nilipojifungua na kupumzika vya kutosha Wanawake hao waliondoka na nilifanya hivo kwa sababu sikutaka mume wangu afuate nje Bora nimletee ale mwanamke ambae nimemchunguza ili asilete virusi ndani ya nyumba yangu 😁" alisema mke wa Neyo

Vp wadau hii kwenu imekaaaje ,😂

Credit - daniellokamacheki
Hii imeka poa sana...mke wake anastahili kupewa tuzo ya superwoman
 
Huu ni msisimamo mzuri sanaaa na laiti wanawake wengine wangefanya hivi hii Dunia ingekuwa safi sana tunengeepuka magonjwa kwenye ndoa

Kubwa tunachotakiwa kujua nii Wanawake wana nafasi kubwa ya sisi wanaumen kuishi maisha marefu
Msimamo mzuri kivipi? Unajuakuwa kuwa hao wanawake walikuwa hawatowi papuchi zao bure, walikuwa wanalipwa hivo!? Kwa maana nyengine ni sex workers, ni malaya! Mke anakutafutia wanawake usex nao
 
Kuna watu wana bahati hapa Duniani, hao ni wale Wanawake wanakuuliza Mume wake, nikupe nini tena uinjoi...

Kama una nguvu, ni kujilia mema tu hadi unazeeka 🤗
Na hawezi kumuacha mwanamke wa namna hiyo katika maisha yake yote, maana kishaziba mianya yote ya matamanio ya mwanaume. Kuna nini tena hapo?
 
View attachment 3138902Mke wa Mwanamuziki maarufu duniani Neyo awaleta Wanawake Wawili warembo ambao Kazi Yao itakua ni kujamiana na mume wake kipindi ambapo atakua ameenda kujifungua au katika kipindi chote ambacho yeye itakua shughuli nzito kukutana na mumewe

mke huyo anasema hakutaka mume wake aanze kuhangaika na Wanawake wa nje ameamua amletee mwenyewe ili arahisishe mambo

" Nilimletea Wanawake Wawili ambao ni Sexy sana warembo kweli kweli kipindi hiki Cha ujauzito mpaka siku ntajifungua. Wanawake hao walikua wanakuja wakati mume wangu akihitaji tendo kutoka kwangu .

Lakini nilipojifungua na kupumzika vya kutosha Wanawake hao waliondoka na nilifanya hivo kwa sababu sikutaka mume wangu afuate nje Bora nimletee ale mwanamke ambae nimemchunguza ili asilete virusi ndani ya nyumba yangu 😁" alisema mke wa Neyo

Vp wadau hii kwenu imekaaaje ,😂

Credit - daniellokamacheki
Neyo ni mimi
 
Nasikia baadhi ya makabila, kama Wanyiha, hufanya hivyo, ila kimyakimya; mwanaume aliyesoma Cuba ndio huweza kugh'amua fumbo.
 
Labda ubongo wangu uwe umelala ndio nifanye hivyo

Hampendi mume we huyoooo

Mali tamu, wapate na mimba za miujiza ziwe na mumewe.
 
kwakweli huyu mmama/mdada ni mfano wa kuigwa kwa wenzie,,abarikiwe sana
 
Back
Top Bottom