Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

Hiyo ilitokea dada alimzunguka shoga yake na kutembea na mme wa rafiki yake, na aliwafumania ni mmewe na kuwaongoza mpaka kwake mwanaume na kuomba pesa, mkewe akatoa mbele ya mmewe, kisha akaambiwa hawa nimewafuma guest mke akanyamaza, alichokifanya mdada akamzoe Mme wa rafiki yake naye akaliwa na wao wakanogewa, Mme kujua akaanza kumdunda wala hakusikia ilibidi yule Baba aombe uhamisho akaondoka mkoa mwingine
 
Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+.


Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu kuyaficha, hatimaye yakafichuka mke (shemeji) akajua bahati mbaya mwamba kanogewa.


Harakati za mke wake kutaka kuwatenganisha zikagonga mwamba, jamma Kila nikimuasa aachane na bi mdogo abaki na mke jamaa anadai kumuacha mtu wake ni ngumu maana anapata mapenzi matamu zaidi ya Yale ya ndani, bi mdogo nae kiburi kimemjaa sometimes analeta dharau mpk kwamke WA jamaa.

Kwakua mm na jamaa ni marafiki shemej akanichukia bila sababu akiamini kua mm nimechangua kumshauri mume wake amtongoze rafik ake kumbe sivyo .


Kuna siku walitibuana na mke wake mbele yangu shemej akanambia nawewe shemej nina kesi na wewe tena nina hasira na nyie wewe na rafiki yako , niliumia shemeji kunijumlisha kwa msela baadae shemej akanitafuta anataka kuujua ukweli nikamweleza kua mm sipo Wala sjamshauri mumeo, mala zote ushauri ninao mpa hua niwa kujenga familia yake sio kubomoa.


Nikamuahidi shemeji kua nitafanya mpango jamaa na Dem wake waachane Wala usijali shemejiii, kumbe mie nimemtania ili nitengenezee trust kwake, shemej kaiomba urafik fb nikakuta message zake za kutosha analalamika sana nikamtuliza wee tukichat sana.

Ajabu Kuna statement shemeji aliongea awali skuizingatia ila akairudia kama mala tatu, "natamani nitoke na rafiki WA karibu WA flani(mume wake) ili na yeye aone machungu ya kutoka na rafik angu.

Baada ya kuona shemeji anarudia statements hiyo Kwa sku karibu tatau nikabidi niingie kichwani Kwa shemeji nione mawazo yake yanacho kiwaza, nikamwambia basi shemeji nione Sasa mm kumbe nimechokonoa gogo lenye moto.

Kiufupi mpaka sasaiv shemej kabakiza siku ya kunipa mzigo nimle na mm ndo sipo serious mala niwe busy na hili mala na like nakuta sms za lawama tu kua nimemsusa.


Misimamo wangu ni kwamba hata iweje sitaruhusu kulala na shemej yangu Japo kua ikitokea shemetani ndo wakulaumiwa.😂😂

Hili jambo limeniongezea uzoefu kuhusu wanawake ogopa sana mwanamke akiamia kulipiza kisasi
Ulijua anachotaka na umeshamtamani, pengine ulimtamani kabla hata ya matukio ya mumewe. Kujiapiza kuwa hutafanya labda shetani akupitie ni guilty au unafiki tu.
 
Muulize atakulipa nini nje na Sex, usifanye kazi bure.
kusudi hata ikijulikana ujitete nilipewa na rushwa juu.
 
Fanya njia za kumkwepa na kukaa mbali naye atakama atalalamika
Yeye kumkomoa sio Solution ndio italeta shida zaidi


Kibaya unapokataa alafu
Ghafla ninyi wa2
Shetani akawapitia

Unakuja kuulizwa nn mkuu ww si ulikataa
unaskia Shetani alinipitia
 
Back
Top Bottom