Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

Hiyo ilitokea dada alimzunguka shoga yake na kutembea na mme wa rafiki yake, na aliwafumania ni mmewe na kuwaongoza mpaka kwake mwanaume na kuomba pesa, mkewe akatoa mbele ya mmewe, kisha akaambiwa hawa nimewafuma guest mke akanyamaza, alichokifanya mdada akamzoe Mme wa rafiki yake naye akaliwa na wao wakanogewa, Mme kujua akaanza kumdunda wala hakusikia ilibidi yule Baba aombe uhamisho akaondoka mkoa mwingine
 
Ulijua anachotaka na umeshamtamani, pengine ulimtamani kabla hata ya matukio ya mumewe. Kujiapiza kuwa hutafanya labda shetani akupitie ni guilty au unafiki tu.
 
Muulize atakulipa nini nje na Sex, usifanye kazi bure.
kusudi hata ikijulikana ujitete nilipewa na rushwa juu.
 
Fanya njia za kumkwepa na kukaa mbali naye atakama atalalamika
Yeye kumkomoa sio Solution ndio italeta shida zaidi


Kibaya unapokataa alafu
Ghafla ninyi wa2
Shetani akawapitia

Unakuja kuulizwa nn mkuu ww si ulikataa
unaskia Shetani alinipitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…