Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

Vifo vya ajali za bodaboda wengi ni matokeo ya laana za kutembea na wake za watu.
Ipo laana ya kutembea na mke wa mtu unakuwa umefungua milango ya mizimu ya pande mbili kukudhuru utoboi
 
kama hutaki kumla hapa umelileta la nini?
 
Kutembea na mke au mme wa mtu ni kuanzisha vita na mizimu ya upande wa kike na kiume ikiungana utoboi kwa sababu unakuwa unaingiza uchafu kati ya ukiwa mgeni asiyetambulika adhabu yko ni lazima kifo. ndo asili ya ajali nyingi asilimia 70 zile zinazoua dereva.
20% chanzo ni kafara,10% chanzo ni uzembe wa dereva.
Ndo jiulize kwann bodaboda wanakufa sana au wananusurika chanzo wake za watu.
Ndo kundi linaloongoza kula wake za watu.
 
🀣🀣🀣 Yeye anataka rafiki wa mumewe so wewe inahusika vipi hapo !?
Mm ndo rafik ake chanda na Pete WA mume alinambia direct kua ana mheshimu tu mke wangu ila alikua kapanga kunifanyia mtego nimle maksudi
 
Waafrika bana..πŸ˜„πŸ˜„

Yaani kila kitu lazima mizimu ihusishwe
 
Miaka huyo kuna wengine walifumaniana, mme kamfumania mkewe na aliambatana na mke wa huyo jamaa, waliomsimdikiza akawambia wasubili hapo nje jamaa kaingia na mke wa mfumaniwa akawambia na wao akae pembeni washuhudie show live live bila Chenga yaani mubashara 😳😳😳 walipomaliza akasema kila mtu achukue mkewe πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Aaah qumamake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…