Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Huyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi.
Tukiwa A- Level jamaa alikuwa anafikia home akitoka kwao au shule sababu yeye alikuwa anaishi Mkoani na alikuwa kama ndugu yangu. Baada ya kumaliza Chuo alipata kazi Firm moja hivi mkoani mimi nikabaki Dar.
Jamaa yangu kaoa miaka kadhaa iliyopita. Tatizo kubwa kwetu ni kuwa jamaa alioa msichana ambaye mimi nlishamuoa kwa vipindi miaka ya nyuma.
Huyu binti nlishawahi kaa naye kinyumba akiwa chuo na wakati mwingine likizo yake alikuwa anaimalizia kwangu.na alishawahi pata ujauzito wangu mara mbili
Nlikuja kuachana na huyu binti kwa sababu za kiufundi lakini tulikuwa bado tunapendana sana (alidanganywa na mwenzie wa zanzibar anifanyie dawa nsiweze mwacha niligundua)
But aliendelea kusema hatoweza acha nipenda maishani. Tuliendelea wasiliana akitaka angalau tuwe tunapiga matches za ugenini. But nlishamwogopa.miaka kadhaa ndo nlikuja kuta ni mchumba wa jamaa yangu. Hapo nlichoka sana.
Bahati nzuri kipind anaoa sikuwepo nchini so sikuhudhuria harusi yao. Yule mwanamke anajua mimi ni rafiki mpenzi wa mumewe.wala hana woga anasema bado siku ikitokea tupo wawili sehemu lazima nimt***be
Miaka mingi nmekuwa nikikwepa kwenda nyumbani kwao. Na mara nyingi kikazi huwa naenda mkoa waliopo. Jamaa yangu hufahamu sababu mara kadhaa tunakutana ktk mambo kadhaa wa kadhaa.
Amekuwa akiumia sana kuwa why naenda kule nafikia Hotel na wakati yeye akija Dar hufikia kwangu? Na mara zote anapokuja kweli huwa anaandaliwa chumba hapa home na kupewa usafiri.
Sasa anaumia why napoenda mkoani alipo sitaki kanyaga kwake. Amefikia hatua ameongea maneno ya kuniumiza sana.
Mimi nakwepa kwenda kwake sababu ya mkewe. Kwanza jamaa hajui kama nmewahi kuwa na mkewe na sitaki ajue asilani. Sitaki kabisa aje kujua jambo hilo litamuumiza ukichukulia tayari wana watoto 4 na mkewe.
Nakumbuka jamaa alikuwa akinitania Chuo kuwa demu ambaye ntetembea naye mimi yeye hatotaka hata kumgusa hata akipewa na pesa.maana alikuwa anaamini mimi nawavuruga sana mademu. So alikuwa anasema hataki kabisa. Leo hii aje kujua ameoa mke ambaye....
Naogopa sana kumuumiza jamaa yangu ambaye kwa kweli ni mstaarabu sana. Ananipenda sana. Siwezi muumiza kwa namna hiyo. Ila najikuta tena anaumia why sijawahi enda ona familia yake miaka yote?na yeye anafahamika vizuri sana kwetu?
Nakosa majibu. Naombeni ushauri. Mkewe alishanambia lazima atataka siku moja moja niwe namt***a kitu ambacho siwezi.