Jamii forum wote ni matajiri wana majumba na magari na mara kwa mara huenda nje ya nchi kikazi lakini pia hulalamika sana kuwa Magufuli amebana hawana pesa mfukoni!!
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
Prof. Palamagamba Kabudi Mwaluko anahusikaje na uzi wako??
Nasikia Corona 2 ni mbaya sana hivyo tusisahau kufanya mazoezi kila siku.
Sukari haijakolea vzr, jamaa ni mshikaji wako kinoma alf unakua na demu unaishi nae na mpk mnatoa mimba jamaa yako hajui? Na wameshazaa watoto wanne hujawahi kwenda hata kwao? na toka aoe hujawahi kumuona shemeji yako? Corona ipo na inazuilikaHuyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi.
Tukiwa A- Level jamaa alikuwa anafikia home akitoka kwao au shule sababu yeye alikuwa anaishi Mkoani na alikuwa kama ndugu yangu. Baada ya kumaliza Chuo alipata kazi Firm moja hivi mkoani mimi nikabaki Dar.
Jamaa yangu kaoa miaka kadhaa iliyopita. Tatizo kubwa kwetu ni kuwa jamaa alioa msichana ambaye mimi nlishamuoa kwa vipindi miaka ya nyuma.
Huyu binti nlishawahi kaa naye kinyumba akiwa chuo na wakati mwingine likizo yake alikuwa anaimalizia kwangu.na alishawahi pata ujauzito wangu mara mbili.
Nlikuja kuachana na huyu binti kwa sababu za kiufundi lakini tulikuwa bado tunapendana sana (alidanganywa na mwenzie wa zanzibar anifanyie dawa nsiweze mwacha niligundua)
But aliendelea kusema hatoweza acha nipenda maishani. Tuliendelea wasiliana akitaka angalau tuwe tunapiga matches za ugenini. But nlishamwogopa.miaka kadhaa ndo nlikuja kuta ni mchumba wa jamaa yangu. Hapo nlichoka sana.
Bahati nzuri kipind anaoa sikuwepo nchini so sikuhudhuria harusi yao. Yule mwanamke anajua mimi ni rafiki mpenzi wa mumewe.wala hana woga anasema bado siku ikitokea tupo wawili sehemu lazima nimt***be
Miaka mingi nmekuwa nikikwepa kwenda nyumbani kwao. Na mara nyingi kikazi huwa naenda mkoa waliopo. Jamaa yangu hufahamu sababu mara kadhaa tunakutana ktk mambo kadhaa wa kadhaa.
Amekuwa akiumia sana kuwa why naenda kule nafikia Hotel na wakati yeye akija Dar hufikia kwangu? Na mara zote anapokuja kweli huwa anaandaliwa chumba hapa home na kupewa usafiri.
Sasa anaumia why napoenda mkoani alipo sitaki kanyaga kwake. Amefikia hatua ameongea maneno ya kuniumiza sana.
Mimi nakwepa kwenda kwake sababu ya mkewe. Kwanza jamaa hajui kama nmewahi kuwa na mkewe na sitaki ajue asilani. Sitaki kabisa aje kujua jambo hilo litamuumiza ukichukulia tayari wana watoto 4 na mkewe.
Nakumbuka jamaa alikuwa akinitania Chuo kuwa demu ambaye ntetembea naye mimi yeye hatotaka hata kumgusa hata akipewa na pesa.maana alikuwa anaamini mimi nawavuruga sana mademu. So alikuwa anasema hataki kabisa. Leo hii aje kujua ameoa mke ambaye....
Naogopa sana kumuumiza jamaa yangu ambaye kwa kweli ni mstaarabu sana. Ananipenda sana. Siwezi muumiza kwa namna hiyo. Ila najikuta tena anaumia why sijawahi enda ona familia yake miaka yote?na yeye anafahamika vizuri sana kwetu?
Nakosa majibu. Naombeni ushauri. Mkewe alishanambia lazima atataka siku moja moja niwe namt***a kitu ambacho siwezi.
Jamaa kiazi no wonder huyo prof ndie kamfunzaProf. Palamagamba Kabudi Mwaluko anahusikaje na uzi wako??
Inategemeana na msomaji ana ufahamu gani au exposure kiasi gani. Mi sijaona tambo hata moja hapo. Kila kitu cha kawaida sanaNaona tambo tu kulko unacho taka kushauriwa
Mseminari wa Visiga, Chuo Kikuu cha Tz, Prof. Kabudi, Jamaa wa mkoa we wa dsm, ulikua unavuruga sana mademu, akija unampa chumba na gari, ulikua nje!Huyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi.
Tukiwa A- Level jamaa alikuwa anafikia home akitoka kwao au shule sababu yeye alikuwa anaishi Mkoani na alikuwa kama ndugu yangu. Baada ya kumaliza Chuo alipata kazi Firm moja hivi mkoani mimi nikabaki Dar.
Jamaa yangu kaoa miaka kadhaa iliyopita. Tatizo kubwa kwetu ni kuwa jamaa alioa msichana ambaye mimi nlishamuoa kwa vipindi miaka ya nyuma.
Huyu binti nlishawahi kaa naye kinyumba akiwa chuo na wakati mwingine likizo yake alikuwa anaimalizia kwangu.na alishawahi pata ujauzito wangu mara mbili.
Nlikuja kuachana na huyu binti kwa sababu za kiufundi lakini tulikuwa bado tunapendana sana (alidanganywa na mwenzie wa zanzibar anifanyie dawa nsiweze mwacha niligundua)
But aliendelea kusema hatoweza acha nipenda maishani. Tuliendelea wasiliana akitaka angalau tuwe tunapiga matches za ugenini. But nlishamwogopa.miaka kadhaa ndo nlikuja kuta ni mchumba wa jamaa yangu. Hapo nlichoka sana.
Bahati nzuri kipind anaoa sikuwepo nchini so sikuhudhuria harusi yao. Yule mwanamke anajua mimi ni rafiki mpenzi wa mumewe.wala hana woga anasema bado siku ikitokea tupo wawili sehemu lazima nimt***be
Miaka mingi nmekuwa nikikwepa kwenda nyumbani kwao. Na mara nyingi kikazi huwa naenda mkoa waliopo. Jamaa yangu hufahamu sababu mara kadhaa tunakutana ktk mambo kadhaa wa kadhaa.
Amekuwa akiumia sana kuwa why naenda kule nafikia Hotel na wakati yeye akija Dar hufikia kwangu? Na mara zote anapokuja kweli huwa anaandaliwa chumba hapa home na kupewa usafiri.
Sasa anaumia why napoenda mkoani alipo sitaki kanyaga kwake. Amefikia hatua ameongea maneno ya kuniumiza sana.
Mimi nakwepa kwenda kwake sababu ya mkewe. Kwanza jamaa hajui kama nmewahi kuwa na mkewe na sitaki ajue asilani. Sitaki kabisa aje kujua jambo hilo litamuumiza ukichukulia tayari wana watoto 4 na mkewe.
Nakumbuka jamaa alikuwa akinitania Chuo kuwa demu ambaye ntetembea naye mimi yeye hatotaka hata kumgusa hata akipewa na pesa.maana alikuwa anaamini mimi nawavuruga sana mademu. So alikuwa anasema hataki kabisa. Leo hii aje kujua ameoa mke ambaye....
Naogopa sana kumuumiza jamaa yangu ambaye kwa kweli ni mstaarabu sana. Ananipenda sana. Siwezi muumiza kwa namna hiyo. Ila najikuta tena anaumia why sijawahi enda ona familia yake miaka yote?na yeye anafahamika vizuri sana kwetu?
Nakosa majibu. Naombeni ushauri. Mkewe alishanambia lazima atataka siku moja moja niwe namt***a kitu ambacho siwezi.
Chai hii [emoji478][emoji478] best yako asijue demu wako unae ishi nae.. swa basi hajui ila kama marafikk watu wengine watajua na wangemwambiaUzi zenu zikiwekwa jukwaa la burudani mnakasirika. Rafiki ako kindakindaki kama ulivyojinasibu asimjue mwanamke wako ambae unaedai ulishawai kumuoa (sijui sogea tuishi).
Kuna namna habari imekosa uhalisia
Safi kabisa,unajua hawa watoto wanapotunga story zao wawe na mda wa kurudia rudia maneno yao.Alikuwa Rafiki yako wa chanda na pete, mnaishi Chumba kimoja chuo, na Mmesoma shule moja Advance level, hadi likizo alikuwa anafikia kwenu
Lakin ulikuwa na demu ambae mpaka uliwahi kuishi nae lakin huyo best yako hakuwahi kumjua huyo demu ila demu alijua kama huyo Jamaa ni best yako
Chai ya Tangawizi ni chanjo ya Corona, tunywe mara kwa mara kudhibiti Corona awamu ya pili
UsitufokeeHii mijitu mipumbavu sijui huwa inakuwaje JF kama unaandikiwa kiswahili chepesi kama hiki huelewi utakuwa mshabiki wa chama cha hovyo kabisa nchini. Yaani unaona eti umegundua vitu.kumbe umeonesha ukiliza. Kama jamaa kaandika waliachana na yeye akaenda kikazi mkoani na maisha yakaendelea na hujaelewa wewe ni zero brain kabisa. Ungekuwa una akili kama unaona ni chai unge ignore ukaendelea na maisha yako. Unapochangia maana yake unafuatilia. Mimi huwa naacha tu.
Acha sisi tuchangie
Anataka kutuelewesha kuwa yeye alisomea sheria!Prof. Palamagamba Kabudi Mwaluko anahusikaje na uzi wako??
Ww ndo hujaekewa broHii mijitu mipumbavu sijui huwa inakuwaje JF kama unaandikiwa kiswahili chepesi kama hiki huelewi utakuwa mshabiki wa chama cha hovyo kabisa nchini. Yaani unaona eti umegundua vitu.kumbe umeonesha ukiliza. Kama jamaa kaandika waliachana na yeye akaenda kikazi mkoani na maisha yakaendelea na hujaelewa wewe ni zero brain kabisa. Ungekuwa una akili kama unaona ni chai unge ignore ukaendelea na maisha yako. Unapochangia maana yake unafuatilia. Mimi huwa naacha tu.
Acha sisi tuchangie
Hii ni chai sema ,ina radha ya chumvi chumvi labda ulipikia maji ya chumviHuyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi.