Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Nasikia Corona 2 ni mbaya sana hivyo tusisahau kufanya mazoezi kila siku.Alikuwa Rafiki yako wa chanda na pete, mnaishi Chumba kimoja chuo, na Mmesoma shule moja Advance level, hadi likizo alikuwa anafikia kwenu
Lakin ulikuwa na demu ambae mpaka uliwahi kuishi nae lakin huyo best yako hakuwahi kumjua huyo demu ila demu alijua kama huyo Jamaa ni best yako
Chai ya Tangawizi ni chanjo ya Corona, tunywe mara kwa mara kudhibiti Corona awamu ya pili
Hii mijitu mipumbavu sijui huwa inakuwaje JF kama unaandikiwa kiswahili chepesi kama hiki huelewi utakuwa mshabiki wa chama cha hovyo kabisa nchini. Yaani unaona eti umegundua vitu.kumbe umeonesha ukiliza. Kama jamaa kaandika waliachana na yeye akaenda kikazi mkoani na maisha yakaendelea na hujaelewa wewe ni zero brain kabisa. Ungekuwa una akili kama unaona ni chai unge ignore ukaendelea na maisha yako. Unapochangia maana yake unafuatilia. Mimi huwa naacha tu.Alikuwa Rafiki yako wa chanda na pete, mnaishi Chumba kimoja chuo, na Mmesoma shule moja Advance level, hadi likizo alikuwa anafikia kwenu
Lakin ulikuwa na demu ambae mpaka uliwahi kuishi nae lakin huyo best yako hakuwahi kumjua huyo demu ila demu alijua kama huyo Jamaa ni best yako
Chai ya Tangawizi ni chanjo ya Corona, tunywe mara kwa mara kudhibiti Corona awamu ya pili
Ni mmoja ya character katk huu uzi. Au unataka ukamuulize kufahamu kama nlichoandika ni kweli? Mbona hujauliza Udsm Inahusikaje? Dont have hard feelings brother. Haya maisha tuProf. Palamagamba Kabudi Mwaluko anahusikaje na uzi wako??
Hii mijitu mipumbavu sijui huwa inakuwaje JF kama unaandikiwa kiswahili chepesi kama hiki huelewi utakuwa mshabiki wa chama cha hovyo kabisa nchini. Yaani unaona eti umegundua vitu.kumbe umeonesha ukiliza. Kama jamaa kaandika waliachana na yeye akaenda kikazi mkoani na maisha yakaendelea na hujaelewa wewe ni zero brain kabisa. Ungekuwa una akili kama unaona ni chai unge ignore ukaendelea na maisha yako. Unapochangia maana yake unafuatilia. Mimi huwa naacha tu.
Acha sisi tuchangie
Mbona wewe hua unasema unamiliki private jetJamii forum wote ni matajiri wana majumba na magari na mara kwa mara huenda nje ya nchi kikazi lakini pia hulalamika sana kuwa Magufuli amebana hawana pesa mfukoni!!
Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]si ni mwalimu wakeProf. Palamagamba Kabudi Mwaluko anahusikaje na uzi wako??