Mke wa Rafiki yangu na Rafiki Yangu mwenyewe wananipa changamoto kubwa sana

Wote wanaishi Masaki kasoro Pohamba anaeishi Uswekeni

Watoto wa siku hizi wajinga hadi kutunga uongo hawajui
Jamii forum wote ni matajiri wana majumba na magari na mara kwa mara huenda nje ya nchi kikazi lakini pia hulalamika sana kuwa Magufuli amebana hawana pesa mfukoni!!

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Prof. Palamagamba Kabudi Mwaluko anahusikaje na uzi wako??

Nyie watu mliofundishwa na watu waliookotwa jalalani [ sehemu ya kutupa uchafu!!] mna bahati mbaya sana kwani wewe hapo huoni kuwa hakuna tatizo la kutaka usaidiwe!!
Wewe ulikuwa unamlamba huyo mama mwenye watoto wanne sasa Mke wa rafikiyo kabla ya rafiki yako kumuoa na juu ya yote huyo rafiki yako unasema hajui kuwa uliwahi kumlamba. Kumtuzia heshima huyo rafiki yako usikubali kumlamba tena huyo mama na umuheshimu kama shemejio, hivyo hata ukienda mkoani kwao unaweza kufikia kwao!!! Do not entertain upuuzi wa huyo mama, tunza heshima ya huyo Rafiki yako.
 
Anza kwa kuparamia Mke kila asubuhi ili mtoane Jasho maana wataalam wanasema Cha nguruwe kimoja ni kama kukimbia Posta -Mwenge
Nasikia Corona 2 ni mbaya sana hivyo tusisahau kufanya mazoezi kila siku.
 
Nenda na mkeo kamsalimie jamaa yako mbona hii haihitaji hata elimu ya msingi[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Sukari haijakolea vzr, jamaa ni mshikaji wako kinoma alf unakua na demu unaishi nae na mpk mnatoa mimba jamaa yako hajui? Na wameshazaa watoto wanne hujawahi kwenda hata kwao? na toka aoe hujawahi kumuona shemeji yako? Corona ipo na inazuilika
 
Mseminari wa Visiga, Chuo Kikuu cha Tz, Prof. Kabudi, Jamaa wa mkoa we wa dsm, ulikua unavuruga sana mademu, akija unampa chumba na gari, ulikua nje!
exposure za wasomaji, kila kitu cha kawaida sana!
Hizo ndio baadhi ya tambo za wasomaji mzee.
 
Uzi zenu zikiwekwa jukwaa la burudani mnakasirika. Rafiki ako kindakindaki kama ulivyojinasibu asimjue mwanamke wako ambae unaedai ulishawai kumuoa (sijui sogea tuishi).
Kuna namna habari imekosa uhalisia
Chai hii [emoji478][emoji478] best yako asijue demu wako unae ishi nae.. swa basi hajui ila kama marafikk watu wengine watajua na wangemwambia
 
Unapokwenda kuwatembelea au kufikia kwao, hakikisha wote wapo. Sidhani kama huyo mwanamke ni mcharuko kiasi cha kukushawishi mbele ya mumewe. Je unahisia naye, au anaweza kukubaka?
 
A- Level Visiga??? Visiga a-level imeanza lini mkuu? Hii ni chai kama chai nyingine
 
Umesema huyo jamaa ni rafiki yako Sana Kama ndugu. Ni mpenzi wako gani ulimtambulisha kwake? Navyojua huwezi mficha kwa ukaribu wenu.

Uliishi Kama mke kabisa, wakat huo huo jamaa umeishi nae room moja. Inawezekanaje miaka 4 amsimjue? Au kukuta nae?

Nifafanulie!
 
Safi kabisa,unajua hawa watoto wanapotunga story zao wawe na mda wa kurudia rudia maneno yao.

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Usitufokee
 
Ww ndo hujaekewa bro

Rafiki yako wa Pete na kidole hamjui mpenzi wako ambaye ametoa mimba zako mbili

This is bullshit
 
Hii ni chai sema ,ina radha ya chumvi chumvi labda ulipikia maji ya chumvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…