Kaka watu wanaharibika sana rangi kama masanamu inakera hasamkuu aka2030 haya mambo mbona mimi niliyasemaga tangu zamani sana kwenye hii thread hapa chini
Serikali, waziri wa viwanda, chakula wapo kimya watu kuchezea kemikali majumbani mwao
hizo bei tu haizna uwiano kabisa aiseeekopo 1 elf 50,mawili 70 manne laki
Na wala sintojali kwanza kama ni dem wangu nakutafunaa weeee ukianza kuwa kata koboko nakupiga chini [emoji44] maana elimu inatolewa kila siku kuhusu mikorogo kama hii na matokeo yake sidhani kama hakuna mtu hajaona mpaka sasa na ndoo maana nikasema atashika sana vilazar kwa hili, maana akili zimejifunga, kwanza nitacheka sana maana kila leo Tfda na mamlaka husika wanahubiri hili, halafu wewe kwa ulimbukeni wako bado unapakaa hayo madude kumbafu kabisa,Ngoja siku
Madhara yamtokee demu wako ama mama ako ndio Utajua sio watu watu wanajua Madhara yake
Hapa bado sijaona point yako, maana kuna nchi kama Uganda ndo Kwanzaa wana mafuta ya kun'garisha weusiHivi nyinyi mnataka TFDA ifanye nini??? kwani hawajui madhara ya mikorogo hiyo???
Tujuilize kwa nini kina dada zetu wanapenda sana kutumia hiyo mikorogo?
Jee haiwezekani chanzo cha yote haya ni sisi midume na kasumba zetu za kupenda kina dada wanaong'ara????
Haiko hivyo mkuu,ingekuwa hivyo basi hata wauza madawa ya kulevya waachwe wapete manake wanaonunua wametaka wenyewe?Mh kwani mmelazimishwa kujikoboa, c madem wenyewe mmeipenda, yani ukilazaeer umewajaa tuu, acha atumie opportunity kwa vilazaer
Ni lazma nijibu according to constition Inavyo niruhususio lazima unijibu
ahahaaa utadhani jiniHuyo mama minilikuwa najua ni shombe shombe kumbe ni mkorogo,hivi huwa wanapaka au wanakunywa mbaka wanakuwa hivyo?View attachment 395496
Kwani TFDA na huyo muuzaji wa mikorogo kosa lao nini, nyie wadhibitini wake zenu na mabinti zenu
Huo weupe kama karatasiye alivyo tu anatisha sasa wewe mdada unaenda kununua hiyo kitu kwake akili yako haina akili
Wanafanya mradi wenzio kila wakitaka pesa wanakwenda wanachukua wanarudi sio kwamba hawajui ama hawaoni always Money Talks.Yn hata mimi nashangaa..hivi TFDA kazi yao ipi..mtu yuko mtandaon kabisa na rahisi kumpata lkn wapi
Vitatafutwa vipodozi vya kudumaza ngozi navyo vitakuwa hatari ahahaaaaa!!Dawa yake ni wanaume kuanza kuoa wanawake weusi
Hivi ukikutana nae usiku si inawezankudhani ni kizuka???ye alivyo tu anatisha sasa wewe mdada unaenda kununua hiyo kitu kwake akili yako haina akili
wako bussy kwenye maduka ... kiukweli anatishaHivi ukikutana nae usiku si inawezankudhani ni kizuka???
Ila TFDA si ndio wathibiti wa haya makitu???? Wanafanya nini???