lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,466
- 9,038
Tunaishi miaka 70+ na inabidi kutumia huu muda kudhihirisha kile Mungu alichokiumba katika miili na akili zetu.
Ukimuona binadamu kwa kutumia akili ile ile aliyonayo akaamua kuubadilisha hadi mwili wake kiasi hicho ni dhahiri hajikubali kama alivyo na hajui anachokitaka (she doesn't know what she wants).
Kwa maana hiyo anatumia akili ya bandia na yeye ni mtu bandia na ukisikuliza mawazo yake unapoteza muda wako japo hutojua. Hata tunavyocomment hapa tunapoteza muda sema tu ni kama angalizo kwa ambao wanaelekea huko kama bado hawajafika.