Mke wa Said Fella unatuharibia wadada hapa mjini

Mke wa Said Fella unatuharibia wadada hapa mjini

Sikujua kama Mrs Fella ni uso wa mbuzi hivyo! Nilidhan ni dizain ya akina Masogange lkn duuuu
 
mimi siamini kipodozi chochote hapa bongo
ndo maana natengeneza mafuta yangu ya nazi kila week najipaka
unakuta mtu kachanika sijui michirizi utadhani nyoka mjane wa miaka mia
bora nionekane mshamba
natamani kuongeza chura wangu kidogo maana huku mjini msingi chura ila nitafanya tu mazoezi
Nakuunga mkono,muongeze chura,ndo mtaji mjini bhana,akifikia kimo cha kutosha itabidi tukae kama kamati tuzungumze kwa kina...
 
Kungwi wa mahabat... upo kweli..?

Unaongeleaje Churaa churaaa huyoooo...

Watu wanahangaika na uso wakati habari ya mujini ni churaaa...

Kungwi umepotea sana
Nipo kungwi.
Tatizo vijana wa sasa wanazaliwa washapitia jando tangi tumboni.
Hivo tunakosa wa kuwafunda
 
Sikujua kama Mrs Fella ni uso wa mbuzi hivyo! Nilidhan ni dizain ya akina Masogange lkn duuuu
Afu huwa hujiulizi kwanini picha nyingi anazopiga ni za uso tu?
Akipiga full basi kavaa Abaya au dera au dishdash?
Yaani kuna siku akajichanganya akatuma ya full akiwa kavaa pedo...yaani miguu ni myeusi tiiii.....halafu imepinda, yaani ana umbo la simba dume.
Ila kwa nyodo ndo hafai.
Itakuwa kamroga Fella, mpaka akamuacha mke wake wa kwanza akaja kwa huyu mnuka ngozi
 
Mungu anamuona
 
Sasa we mdada nawe utakubal kujichubua hebu kuwa Natural
1473280137479.jpg
 
Huyo alivyo jichubua ukikaa nae karibu huwa wanatoa harufu flani kama mzoga! TFDA sijui wanafanya kazi gani, Bidhaa za Tanzania huwa zinaingia nchini zikiwa na nembo ya tbs kabisa!!
Tatizo hili ingawa ni la TFDA lakini tunao wajibu wa kuwatahadhalisha wanajamii wenzetu ili waachane na kuiw
 
Nipo kungwi.
Tatizo vijana wa sasa wanazaliwa washapitia jando tangi tumboni.
Hivo tunakosa wa kuwafunda

Kungwi sijakuona long longtime humu...

Ili mradi mzima wa afya nashukuru, nakuombea uzima tele sana kwa sana ya sanaaaa..

Hawa vijana hawajui mapenzi, jando kweli wanaefanyiwa wakiwa hata macho hawajafungua...!! Sasa malezi ya familia inakua shida sana, unakuba baba kaoa, alafu suruali kata k... mara wengine wanajichubua hadi wanaonekana kama vinyago....

Nakuombea mema sana, barikiwa sana

Kungwi, ucku mwema...!!
 
Asante mkuu.
Unajua tatizo ni hawa wazazi.

Sema siwezi ingia ndani sana maana hapa si mahala pake.
Naomba unitag au uni-quote penye mada zake mkuu.
Ila hili suala la kujichubua aisee...mie wala silipendi.
Mtu anakuwa kama kinyago cha mpapure
 
Back
Top Bottom