Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

Imekuwaje kwanza hawa matapeli wamekuwa wafuasi wengi kiasi hiki? Halafu cha kustahajabisha ni vijana wasomi.. hama kweli elimu ya bongo nimeanza kuona ina walakini
Cult following. Hata ukiwa na PhD ukiingia kwenye anga zao huchomoki. Nguvu za giza. Psychological manipulation. Vitisho...

Mchungaji anaweza akawa anamla mkeo na ukajua lakini ukaishia kumshukuru Mungu kwa kumwezesha mchungaji kumchagua mkeo na si mwanamke mwingine hapo kanisani.
 
Kubabeki walaah...
Hayo mambo ukileta kwa mashekhe huku walahi tunakukata pumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…