Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Nimecheki video zake kadhaa, huyo mama asiruhusie kushika kipaza
Poleni sana nyote mnaosali kwenye makanisa yao.
Christian ni dini ya kidemokrasia, hakuna mambo ya kulazimishana kama muslims!.Kubabeki walaah...
Hayo mambo ukileta kwa mashekhe huku walahi tunakukata pumbu
Huyu mama asitufanye ma zezetaaa
Amekuwa mshindani wa mihan gesi.miujiza kama hii inaingizia hasara nchi.i apoteza mapato ya kodi
Ni director wa WHO hapa Mtwara ?Huyu hapa
Ni njia rahisi iwapendezao wenyewe siyo impendezayo munguNi rahisi kuhudhuria Kanisani au Msikitini kila unapohitajika kuliko kutenda yaliyo mema.
Binadamu ameamua kuchagua njia rahisi ya kumuabudu Mungu.
Kwahyo kulazimishana kujaza gesi kwa mdomo ah puuu puuu 😂😂😂😂😂Christian ni dini ya kidemokrasia, hakuna mambo ya kulazimishana kama muslims!.
Unaamini?Wewe ulikwepo!?
Nazingua mkuu. Matapeli hao.Unaamini?
😀😀Nazingua mkuu. Matapeli hao.
Nimezaliwa kwenye moja, takatifu, katoliki, la mitumeTunatoa kawaida tuu kaka siku hizi misaada ya kutoka Roma haipo tena so kanisa tunalijenga wenyewe..maendeleo tunafanya wenyewe..nyumba za mapadre tunajenga wenyewe so hela unaona kabisa nini inafanya..tupo kwenye vikao vya halmashauri ya walei tuna calculate kila senti mapato na matumizi ya sadaka na majitoleo mbalimbali zinafanya nini...aisee uwazi upo wa kutosha sana...labda kama padre ana mishe zake nje ya kanisa ila ndani ya kanisa kila senti inajulikana inapoenda....
Proudly RC till i die...