Shanduu, mwambieni huyo mchungaji atende muujiza kapu la sadaka lijae pesa waumini wasikamuliwe kuombwa sadaka.Cult following. Hata ukiwa na PhD ukiingia kwenye anga zao huchomoki. Nguvu za giza. Psychological manipulation. Vitisho...
Mchungaji anaweza akawa anamla mkeo na ukajua lakini ukaishia kumshukuru Mungu kwa kumwezesha Mchungaji kumchagua mkeo na si mwanamke mwingine.
Unataka kusemaje mkuu?KWA MNAO TAFUTA WACHUMBA KANISANI, KWA MARA NYINGINE NIWAPE POLE SANA
Daah...!! Basi nguvu za kishetani walizonazo ni kali mno, na hao wafuasi wao ni zile familia ambazo hazijawahi kuwa na Mungu.Cult following. Hata ukiwa na PhD ukiingia kwenye anga zao huchomoki. Nguvu za giza. Psychological manipulation. Vitisho...
Mchungaji anaweza akawa anamla mkeo na ukajua lakini ukaishia kumshukuru Mungu kwa kumwezesha Mchungaji kumchagua mkeo na si mwanamke mwingine.
KijamboGesi gani?
Pumbaf zake! Ila wako machoko wanaamini haya mambo ndo wanawapa nguvu waropokaji kama huyu mama kudanganya umma.
Jumanne Muliro mkamate huyu aunganishwe kwenye kesi ya Lisu
Ulokole ni ugonjwa wa akili.
Wewe ulikuwepo
Masheikh zao ni mizigo na ubweche....Ahahaha mshekhe wanaosifia mizigo aahahahha maninaaa
Simuoni mshanajr kutetea ukristo huku