Ngoja nimcheki maana sadaka huwa tunatuma kwa mpesa, nae atume gesi kwa njia ya bwana.Kwani afanyi kutuma na mikoani😁😁
Kwa kweli 🤣Kuna watu wameumbwa bila aibu
Hila kweli😁,,,Ngoja nimcheki maana sadaka huwa tunatuma kwa mpesa, nae atume gesi kwa njia ya bwana.
Aisee Kila mtu na ushuhuda wake... kwa kweli😀
Satan anasema uongo wa wazi namna hiyo?Satanic worship! 🚮🚮🚮
Hivi huwa shuhuda kama hizi zikitolewa huwa mnaona aibu kama mimi? Yaani alipomaliza nimejisikia aibu kama nimetembea uchi.Aisee Kila mtu na ushuhuda wake... kwa kweli😀
Mimi nikiona mtu ana acha uislamu na kuwa mkristo wa madhehebu ya dini kwa dhana kuwa ndiyo atakwenda peponi huwa namwona mpumbavu kwa sababu hakuna tofauti ya kafiri wa kiislamu na kafiri wa kikristo ....Ukristo wa kweli haupo kwenye madhehebu bali ni katika usahihi wa neno la mungu katika kuli ishi...DINI INATAKIWA KUWA MAISHA YA KILA SIKU YA MTU SIYO KUWA MSIKITINI AU KANISANI ...kwa sasa dini zimebaki kwenda kanisani na kwenda misikitini ila kwenye maisha halisi ya mtu ya siku kwa siku uwezi kuiona dini....
Wapuuzi kama wewe mmebaki kulishwa mafii tu huko makanisaniMnaobisha mlikuwepo, mlikuwepoo?
😂😂
Mkuu hii inatosha kusema hawa ni waongo...Hivi huwa shuhuda kama hizi zikitolewa huwa mnaona aibu kama mimi? Yaani alipomaliza nimejisikia aibu kama nimetembea uchi.
UshuziGesi gani?
Umeongea kweli kabisa.wapo sahihi tu -- si wengi wanapenda miujiza?
Hata siasa pia nako mambo ya ajabu nako.Cult following. Hata ukiwa na PhD ukiingia kwenye anga zao huchomoki. Nguvu za giza. Psychological manipulation. Vitisho...
Mchungaji anaweza akawa anamla mkeo na ukajua lakini ukaishia kumshukuru Mungu kwa kumwezesha Mchungaji kumchagua mkeo na si mwanamke mwingine.
Malizia hapo "wiki mbili"
Naam, wawe 100% au 0% wasikae katikatiUmeongea kweli kabisa.
HahhahahhahKuutetea ukristo ni kaz ngumu sana
Ulokole ni ugonjwa wa akili.