My hair my crown
JF-Expert Member
- Feb 5, 2016
- 929
- 2,601
Mzurulaji😂Kuna kipindi nilihamasika kusali kanisa moja hivi la Kilokole. Pastor muda mwingi alitumia kujivunia material things. Kila siku nina hiki nimenunua hiki. Nikafuatilia kama ana biashara hakuna. Nikaona kumbe sisi ndio duka lake. Nikarudi zangu KKKT.