Hatuna muda na mambo ya maigizo..Masheikh zao ni mizigo na ubweche....
Wewe ni mmoja kati ya wengi mnaoshindwa kutofautisha Imani na Dini, Dini na dhehebu.Kuutetea ukristo ni kaz ngumu sana
RC wanatukamua pesa lakini angalau kinachofanyika kinatunafaisha wote. Tena hadi ambao sio wa RC wanafikiwa piwa.Anasema wana magari mengi yasiyo na idadi mpk anawaza serikali sijui watawaonaje....
Endeleeni kuliwa sadaka
Proudly RC
Wewe ulikwepo!?Dah! Uongo mtupu
Yeah
Dah, huu ni upofu wa akiliCult following. Hata ukiwa na PhD ukiingia kwenye anga zao huchomoki. Nguvu za giza. Psychological manipulation. Vitisho...
Mchungaji anaweza akawa anamla mkeo na ukajua lakini ukaishia kumshukuru Mungu kwa kumwezesha mchungaji kumchagua mkeo na si mwanamke mwingine.
Tunatoa kawaida tuu kaka siku hizi misaada ya kutoka Roma haipo tena so kanisa tunalijenga wenyewe..maendeleo tunafanya wenyewe..nyumba za mapadre tunajenga wenyewe so hela unaona kabisa nini inafanya..tupo kwenye vikao vya halmashauri ya walei tuna calculate kila senti mapato na matumizi ya sadaka na majitoleo mbalimbali zinafanya nini...aisee uwazi upo wa kutosha sana...labda kama padre ana mishe zake nje ya kanisa ila ndani ya kanisa kila senti inajulikana inapoenda....RC wanatukamua pesa lakini angalau kinachofanyika kinatunafaisha wote. Tena hadi ambao sio wa RC wanafikiwa piwa.
Proudly RC too.
Ni rahisi kuhudhuria Kanisani au Msikitini kila unapohitajika kuliko kutenda yaliyo mema.Mimi nikiona mtu ana acha uislamu na kuwa mkristo wa madhehebu ya dini kwa dhana kuwa ndiyo atakwenda peponi huwa namwona mpumbavu kwa sababu hakuna tofauti ya kafiri wa kiislamu na kafiri wa kikristo ....Ukristo wa kweli haupo kwenye madhehebu bali ni katika usahihi wa neno la mungu katika kuli ishi...DINI INATAKIWA KUWA MAISHA YA KILA SIKU YA MTU SIYO KUWA MSIKITINI AU KANISANI ...kwa sasa dini zimebaki kwenda kanisani na kwenda misikitini ila kwenye maisha halisi ya mtu ya siku kwa siku uwezi kuiona dini....
Huyu mama huwa anaonge ujinga sijui kwa nini, ni kamama katapeli ka maneno
Huyu hapaWho is tony kapola ?