Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

Kuna kipindi nilihamasika kusali kanisa moja hivi la Kilokole. Pastor muda mwingi alitumia kujivunia material things. Kila siku nina hiki nimenunua hiki. Nikafuatilia kama ana biashara hakuna. Nikaona kumbe sisi ndio duka lake. Nikarudi zangu KKKT.
 
Unamjua pastor suguye weye๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,,muhaya yule khaaaa!
 
Back
Top Bottom