Mke wa Tony Kapola: Gesi iliisha akapulizia tuu puuuh, gesi ikajaa tukapika

Ni rahisi kuhudhuria Kanisani au Msikitini kila unapohitajika kuliko kutenda yaliyo mema.

Binadamu ameamua kuchagua njia rahisi ya kumuabudu Mungu.
Ni njia rahisi iwapendezao wenyewe siyo impendezayo mungu
 
aisee huyu Dada kanichekesha Sanaa mbaya anasema Ana magariii mengii hayahesabiki ndugu wakija hawajui Gari zap ama za serikali

chaa
 
Nimezaliwa kwenye moja, takatifu, katoliki, la mitume

Nikabatizwa ah! Mimi mkatoliki

cc DIVISHENI FOO mkatumeni komwe tumsifu Yesu kristo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…