Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Mke wa Waziri Mkuu wa Uingereza ajulikanaye kama Bw.Kameruni akionekana kwenye picha hapo chini akiwa likizo huko Ibiza!

engl.jpg

end.jpg

eng.jpg

uing.jpg
 
Mila na desturi za hawa wazungu na sisi watanzania ni tofauti, lakini tunapoelekea watanzania tutakuwa hivyo maana tuna akili za kushikiwa na wazungu.
 
Afu wengine wanadanganywa waoane wao kwa wao nao wanakubali
 
Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!
 
Hahaa nani amekuambia...mbon Picha za mke wa mwanafamle zimezagaa wakati yupo honeymoon...sijui umekula maharage ya wapi wewe...
 
Back
Top Bottom