Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Hivi mnaosema utamaduni tofauti.
Hivi hawa Video queens wetu kwenye video za wasanii ha hapa hapa Bongo kuna tofauti gani na huyu.
Au ndio tunafanya hatuzijui nyimbo na video hizo.Tena huyu ananafuuu sana.
Na Baraza linatoa baraka zooote kwa video hizo kwenda hewani na vituo vyetu wenyewe ndio vinaonyesha video hizo.Na mabinti hao tupo nao mitaani kila siku.

Kweli nyani haoni vutule.
 
Mila na desturi za hawa wazungu na sisi watanzania ni tofauti, lakini tunapoelekea watanzania tutakuwa hivyo maana tuna akili za kushikiwa na wazungu.
bora tungekuwa na akili za kushikwa na waarabu! hahahahaha!
 
Mbona yeye anahimiza Ushoga halaafu kaoa Mwanamke??Achana na Mbunye banaaa...ile kitu ina utamu wake.Jamaa anasema watu waoe wanaume ye katulia na mchuchu wake tu...Za Mbayuwayu changanya na zako
 
Kama dume!!!kumega huyu maza unahitaji zaidi ya pombe, kudanganya ubongo.
 
Ame ji expose mno na kuficha maeneo kiduchu. privacy hapa iko wapi?
 
Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!

Mke wa Prince wa uingereza ashawahi kupiga picha akiwa kwenye boti akiwa na bikini.
 
Ndo figure zangu hizo, duh kitu mwake, unampindisha kama rubber bend.
 
Afadhali shishi babe wetu ana mvuto zaidi tatizo viungo vigine vya shishi vilijitokeza bila ruhusa
 
Ana vitako vidogo vibaya ha ha ha! Alafu havina mvuto angevifunika ingekuwa poa.
 
Back
Top Bottom