Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We utakuwa huwajuwi vizuri wazungu wewe.Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!
Sema ana mafuta! Ni ugonjwa ule unaotokana na kula kula. Kisukari na ugonjwa wa moyo vinatokana na mafuta!!Hana nyama kabisa yani.
Picha tasavali. r u single? or single-married..?Kanitoa copy angekua mweusi ningekua nafanana nae 100%
Picha tasavali. r u single? or single-married..?
Ngosha nipo sana bana. Ukiwa bongo starehe nyingi sometimes hata JF inasahaulika. Vp Arsenali inaendeleaje?Khabari yako Mpemba....
Kitambo sana Sheikh...
Wazungu hawaangalii sura, ni mapenzi tuu hajalishi uko na shepu gani, wanaume wa bongo wanaangalia sura, mara wowoo, mara mguu wa bia, wakioana ndoa mwaka chalii
Arsenali bado tia maji tia maji kama Rosonelli tu...Ngosha nipo sana bana. Ukiwa bongo starehe nyingi sometimes hata JF inasahaulika. Vp Arsenali inaendeleaje?