Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!
We utakuwa huwajuwi vizuri wazungu wewe.
 
Mambo mengi yanayoanzishwa ulaya,yakija Afrika huwa complicated
 
Wazungu hawaangalii sura, ni mapenzi tuu hajalishi uko na shepu gani, wanaume wa bongo wanaangalia sura, mara wowoo, mara mguu wa bia, wakioana ndoa mwaka chalii

Hapo red nahisi kama umeongea kihisia na si ki uhalisia zaidi, NADHANI kwa kuachana wazungu watakua wako juu zaidi ya wabongo, nikimaanisha wazungu wana talaka nyingi plus ndoa za mikataba. Correct me if am wrong
 
Madhalani unakutana na mke wa Pinda pale Coco Beach hivyo.:glasses-nerdy:
 
Back
Top Bottom