Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Mke wa W/Mkuu Uingereza akiwa Ibiza Beach!

Weekend hii na mie naenda kutinga kihivyo coco beach, Obay kona ya enzi hizo unaogelea na kuoga unaoga kwenye vyumba vya kubadilishia.

Kweli TZ kumebadilika
 
Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!
We jamaa utakuwa na matatizo si bure?
Maadili? hivi unayajua maadili?
Haya unayoambiwa uwe shoga ndiyo maadili?
sometimes FaizaFoxy anapowauliza kama mmeenda shule kusoma ujinga huwa yuko sahihi kumbe!
Ngoja nikupe picha zaidi za Cameroon na mkewe wakiwa katika utamaduni wao..
Bassa_kika3422462_David-Cameron.jpg

utaomba link yenye source labda? hehehee!.. gonga hapo David Cameron: per ridare brio alla quotidianità, vacanze ad Ibiza, con sole e Topless a volontà - TV Più - Tutto quello che gli altri non vi dicono e non vi fanno vedere
..............................................
Hapa huyo unayeuita mke wa wenye maadili, ana show off.. chunguza kulia kwako, kuna kitu kimefutwa kiaina...
4.jpg

source?....David Cameron's Wife Shows Off Hot Bikini Bod in Ibiza

Labda nikupe na maneno yao...
Samantha Cameron is 44 years old and mum of 4 kids. Check out the hot bod on her. Sam spent the past few months travelling the UK with her hubby on his punishing Election schedule. And was spotted dressed in a classic black bikini on the Spanish party island of Ibiza. The photos are sure to make her husband David a little wistful – far from being able ‘chillax’ himself, the Prime Minister is on a whistlestop tour of Europe in his efforts to reform the EU.

Haya sasa ndo maadili. Hapa amevaa haswaa!
5.jpg
 
Last edited by a moderator:
Sherehe zinaanzia arusha
kuelekea ibiza

Ndio wapi huko mpaka joh makin anapasifia jaman
 
Huyu si ndiye anaepigania maslai ya mashoga iweje yey awe na mke?!
 
Inaonekana ni wakati wa joto kali. Hata mwili kuna sehemu kama zimechubuka.
 
Hili bilinganya limetoka wapi hiliiiiii
 
Hapo ndo nasemaga kwenye haya mambo wazungu hawanaga macho

Wazungu hawaangalii sura, ni mapenzi tuu hajalishi uko na shepu gani, wanaume wa bongo wanaangalia sura, mara wowoo, mara mguu wa bia, wakioana ndoa mwaka chalii
 
Wazungu hawaangalii sura, ni mapenzi tuu hajalishi uko na shepu gani, wanaume wa bongo wanaangalia sura, mara wowoo, mara mguu wa bia, wakioana ndoa mwaka chalii

I admit
 
Back
Top Bottom