Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Figs tamu sana hiyo.Hapo ndo nasemaga kwenye haya mambo wazungu hawanaga macho
bora tungekuwa na akili za kushikwa na waarabu! hahahahaha!Mila na desturi za hawa wazungu na sisi watanzania ni tofauti, lakini tunapoelekea watanzania tutakuwa hivyo maana tuna akili za kushikiwa na wazungu.
Flat screen.
hana U-DC
Flat screen.
Hana nyama kabisa yani.
Nitarudi bongo na "migenye "yangu kama mpango wenyewe ni kubajuka na ubao!Yaani nchini kwao huo mwili ndo unaotakiwa,hapo yupo super sexy
Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!
Duh! ana background mbovu kishenzi..