hhhhhhyaaaaaaaaNitarudi bongo na "migenye "yangu kama mpango wenyewe ni kubajuka na ubao!
Tamaduni zinatofautiana
Wazungu hawapendi mambo ya kujazia background
We jamaa utakuwa na matatizo si bure?Huo ni uongo na huyo si mke wa Cameron.Pamoja na kile kinachoıtwa utamaduni wao, mke wa Waziri Mkuu Uingereza hawezi kujiachia hvyo hata sıku moja.Km kuna nchi duniani wapo strict na maadili ya viongozi wake basi Uingereza ni mojawapo.Hyo picha si halisi!
Huyu naye!
Mizigo inajazwa??
Hizo ni china minded buana...
yep..ni zaidi ya flat skrin...😛ound:😛ound:
Aiseee
Duuu!!!???
yep..ni zaidi ya flat skrin...😛ound:😛ound:
Hapo ndo nasemaga kwenye haya mambo wazungu hawanaga macho
Wazungu hawaangalii sura, ni mapenzi tuu hajalishi uko na shepu gani, wanaume wa bongo wanaangalia sura, mara wowoo, mara mguu wa bia, wakioana ndoa mwaka chalii
I admit