TANZIA Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Salim Ahmed afariki dunia

Mungu amrehemu, amjalie pumziko LA milele.
 
Sasa mkuu umeandika nini? Hapa tunaomboleza wewe unaleta chuki dhidi ya Magufuli[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji1533][emoji1533][emoji1533]

Sky Eclat
Acha kuquote na kubadili nilichoandika vinginevyo unafanya Jambo lililo kinyume na Sheria za jamiiforums!

Endelea!
 
Kwa mshutuko mkubwa nimepokea habari ya kuondokewa na Bi Amne Rifai Salim, Mkewe na Mh Salim Ahmed Salim. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun.
pole ila Sijui kwanini huwa hamtangai watu wakiwa hai, kama ni wa kupongezwa ama kulalamikiwa iwe hivyo ila mnatutangaia marehemu?
okay pole bi fatma karume kwa kufiwa na aunti,
 
Acha kuquote na kubadili nilichoandika vinginevyo unafanya Jambo lililo kinyume na Sheria za jamiiforums!

Endelea!
Saguda47 mtu wangu inakuwaje
Rest in peace mama yetu Mrs Salim
 
Kwa mshutuko mkubwa nimepokea habari ya kuondokewa na Bi Amne Rifai Salim, Mkewe na Mh Salim Ahmed Salim. Inna Lillahi Wainna Ilaihi Rajiiuun.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

Wale waliosema Salim ni Hizbu sijui nao wataenda kwenye huu msiba😭

Cc. Ccm mtandao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…