Mke wa x wangu

Mke wa x wangu

Hujaolewa, ukiolewa utafahamu na kugundua wanaochungulia simu za wapenzi wao wengine hawakuwa na mpango huo! Ndoa ni zaidi ya neno ndoa! Ina mapana na marefu. Achana na kuona dalili za wazi wazi ama kusikia ya kuwa mke/mme unayemwamini anatoka nje ya ndoa huku akikuinjoy wewe kwa kujifanya innocent! Take it from me miss chagga!
ila hiyo institution haina fomula mi naamni kama akicheat acheat tu mpaka dudu liote miba ila awe makini kwenye kuokota wadudud huko nje
 
ndoa zina mambo sana na uvumilivu unahitajika sana jaman....

suala la yeye kupekua simu ina maan huyu mwanaume ni gume gume lililoshindikana na anajitahid kutfuta suluhisho....

na pia kama anakutongoza na ulimjibu vibaya kwenye wassap huyo mwanamke asingekulaumu....kuna sms zlizomtumia wasiwasi na kugundua wewe ni x wake

wanaume tulieni na ndoa zenu hakuna kigeni huko nje kwa michepuko
 
Mtoa mada kwa ushauri wako hujatatua tatizo ila umeongeza tatizo katka ndoa ya watu
 
Inaonyesha hata wewe bado unampenda. Vinginevyo usingekuwa unamjibu huko whatsapp
 
Mtoa mada kwa ushauri wako hujatatua tatizo ila umeongeza tatizo katka ndoa ya watu

Mdada it seems like kashakata tamaa na mumewe navyomjua atakuwa na michepuk kibao ningemshaur vp sasa?
 
Una moyo kweli

siwezi kufa niache mtoto au watotot wanateseka kisa mwanaume anacheat aendee mimi aniangalizie mwanangu wale walale pazuri yeye avae skirt akifika nanfunua achomeke atajua mweneyewe ,.... mimi mwanaume akianza kucheat mapenzi yataamia kwa mwanangu tu basi ,... sitokubali kupata stress kisa kidudu
 
Back
Top Bottom