miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Unaweza kufa kwa lidudu tu?
liwe lidudu, kidudu, mdudu , kibamia, rungu, bakora, mtwangio, kipekecho sipo tayari kujiumiza kisa hicho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kufa kwa lidudu tu?
Madudu yamejaa chakufia dudu moja n kipi?
Madudu yamejaa chakufia dudu moja n kipi?
siwezi kufa niache mtoto au watotot wanateseka kisa mwanaume anacheat aendee mimi aniangalizie mwanangu wale walale pazuri yeye avae skirt akifika nanfunua achomeke atajua mweneyewe ,.... mimi mwanaume akianza kucheat mapenzi yataamia kwa mwanangu tu basi ,... sitokubali kupata stress kisa kidudu
Hahahahahaha nyie ni waalimu wa kiswahili??mmepangiwa shule gan
Madudu yapo hata nkitaka 10 ya maana jus uamuz tu mtu ukiamua
wewe ndiyo mwanamke sasa! Safi kabisa
Hahahaha we noma kun ndugu yang mmoja ana misimamo km wewe kakomaa mbna mume alihama akaacha kila kitu naw huy bidada ananenepa tu namwanaye
Hapo kimchepuko kam mie lazima kihusike kiaina
We mrembo wewe...! Umesemaje?
Hakuna mwanaume wa peke ako watu tunashindwaga tu kukubali ukweli, Maji kayavulia nguo ayaoge kwani hakuyaona hayo kabla ya ndoa????? ndo wake huyo amuombee Mungu ambadilishe.