cha ndesamburo
Lol mie siwolewi nitaoa tu akizingua namwambia baba am sory npe nafasi
Hakuna mwanaume wa peke ako watu tunashindwaga tu kukubali ukweli, Maji kayavulia nguo ayaoge kwani hakuyaona hayo kabla ya ndoa????? ndo wake huyo amuombee Mungu ambadilishe.
kwani mi chakula?
miss chagga hope wewe bado hujaolewa ndo maana unaujasiri wa kusema hivyo,siku ukiolewa au ukiwa kwenye strong relationship ndo utajua kama kuna umuhimu wa kufyokonyoa sim au hamna.
Uliyoyasema yametoka moyoni mwako mkuu?hivi kufyokonyoa simu ya mpenzi wako mume wako iliiweje ... mimi weka hapo utajijua tu elimradi matumizi yangu yawepo na kumsisitiza kutumia kinga huko anaporuka ruka inatosha siwezi kufa kisa kidudu loh
Ulikuwa hujui
husika tu hapo kiukweli natafuta hela ili wanangu waishi kwa raha kama mwanaume ameamua kuchepuka aende nitamuuliza baba fulani huyo mchepuko wako nikiwa kaburini ataweza lea wenetu kama hapana baba naomba space ya kukuza wanangu huku ukiendelea kuchepuka vizuri hela ya matumizi ya mtoto weka hapo mi naweza jihudumia baba haya baba vaa sketi sahahu boxer nenda...
Shikamoo wakuu,
Basi jana nikiwa nmejilaza kitandani kwangu naperuzi jukwaa la siasa humu si ghafla ikaingia text whatsup kuchek namba geni(imeandikwa nakusalimia tu,nikajibu asante nani lakini" kanijibu me mke wa nokia8 (he was my boy friend tulipokuwa chuo huyo nokia8) tukachana yeye akaoa mwaka jana bonge la harusi na mie nilienda cheza kwaito sana)mke wa nokia 8.
Najua ushawahi date na nokia 8 ina maana hamkuachana?
Mi nikamuliza kivipi sikuelewi?
Akanijibu nimeona chating zenu whatsup means mnakumbushiaga...
Me nikamwambia kama umeona chating kila kitu chajieleza mumeo ndiye anantaka me simuhitaji naheshimu ndoa yenu,nakupenda siwezi fanya hivyo mwambie mumeo aache kunisumbua"
Yule dada akanpigia simu
Nikapokea akaanza aisee kama mume nimepata sijui kama naweza"inavyoonekana huyo mke wa x wangu aliona mengi katika simu ya mumewe,mie nilichomwambia ndoa yenu ni changa sana kumbuka uliyoahidi kanisani siku ile,ukae utulie akanijibu siwezi!
Basi for sure nIlifili vibaya sana yani kama vile ndo mie yamenkuta alafu mie nikamwambia kama vipi mamii na wewe tafuta mchepuko ujitulize utajakufa siku siyo zako kwa presha,,hakunijibu
Sasa nyie wanaume niwaulize hivi mnakuaga mnalazimishwa kuoa?
Kabinti ka watu ndo kwanza kadogo kukaliza kila siku kama ulikuwa hujamaliza kuchovya hilo dunguso lako why uoe?
Mnaboa sana me nlichomshauri huyo dada nmemwambia nae atafute mchepukooo.
Hahahahahaha, naisi hujaolewa ndo maana unasema ivo, unaujua uchungu wa mume wewe?
Uliyoyasema yametoka moyoni mwako mkuu?
sijaolewa lakini siwezi jipa stress
Basi shemeji ana bahati kubwa sana, na yapaswa aitumie! Sijui analijua hilo?kutoka uvunguni mwa moyo wangu
Naturally every man is a polygamy!!
Vingine vinabana kama vina nta,
atasahauje???