Mke wa x wangu

Mke wa x wangu

umukagame

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2014
Posts
1,044
Reaction score
673
Shikamoo wakuu,

Basi jana nikiwa nmejilaza kitandani kwangu naperuzi jukwaa la siasa humu si ghafla ikaingia text whatsup kuchek namba geni(imeandikwa nakusalimia tu,nikajibu asante nani lakini" kanijibu me mke wa nokia8 (he was my boy friend tulipokuwa chuo huyo nokia8) tukachana yeye akaoa mwaka jana bonge la harusi na mie nilienda cheza kwaito sana)mke wa nokia 8.

Najua ushawahi date na nokia 8 ina maana hamkuachana?

Mi nikamuliza kivipi sikuelewi?

Akanijibu nimeona chating zenu whatsup means mnakumbushiaga...

Me nikamwambia kama umeona chating kila kitu chajieleza mumeo ndiye anantaka me simuhitaji naheshimu ndoa yenu,nakupenda siwezi fanya hivyo mwambie mumeo aache kunisumbua"

Yule dada akanpigia simu

Nikapokea akaanza aisee kama mume nimepata sijui kama naweza"inavyoonekana huyo mke wa x wangu aliona mengi katika simu ya mumewe,mie nilichomwambia ndoa yenu ni changa sana kumbuka uliyoahidi kanisani siku ile,ukae utulie akanijibu siwezi!

Basi for sure nIlifili vibaya sana yani kama vile ndo mie yamenkuta alafu mie nikamwambia kama vipi mamii na wewe tafuta mchepuko ujitulize utajakufa siku siyo zako kwa presha,,hakunijibu

Sasa nyie wanaume niwaulize hivi mnakuaga mnalazimishwa kuoa?

Kabinti ka watu ndo kwanza kadogo kukaliza kila siku kama ulikuwa hujamaliza kuchovya hilo dunguso lako why uoe?

Mnaboa sana me nlichomshauri huyo dada nmemwambia nae atafute mchepukooo.
 
Labda jamaa alizoea mautundu fulani na huyo hana hizo swaga ndi maana jamaa anakumbuka x wake,mwanaume vikorombwezi mwanamke kujituma mshauri abadilike.
 
Labda jamaa alizoea mautundu fulani na huyo hana hizo swaga ndi maana jamaa anakumbuka x wake,mwanaume vikorombwezi mwanamke kujituma mshauri abadilike.

Katika chatng zetu alikuwa ananiambia ze way anavyonikumbuka,,anajuta kuoa,,ukichek na mkewe nae mzuri tu kwel inauma lakn
 
hivi kufyokonyoa simu ya mpenzi wako mume wako iliiweje ... mimi weka hapo utajijua tu elimradi matumizi yangu yawepo na kumsisitiza kutumia kinga huko anaporuka ruka inatosha siwezi kufa kisa kidudu loh
 
Mie ndoa siijui bt i told her aache kumfatilia fatilia kwa fon yake!
 
Katika chatng zetu alikuwa ananiambia ze way anavyonikumbuka,,anajuta kuoa,,ukichek na mkewe nae mzuri tu kwel inauma lakn

Uzuri sio sababu ya kujua mautundu,mwambie mumewe ampeleke kwa wataalamu wa mambo,nilishawahi kukutana na mdada mrembo wa haja kufika bed 0 hajui a wala z afu papuchi chafu ikabidi nimfundishe uzuri alikubali kuws mwanafunzi mtiifu nilimfaidi sana na mpaka sasa ananishukuru kwa hilo.
 
Duh basi huyu inaonekana alivyooa ndo kazidi nilipokuwa nipo nae hakuwaga mpenda papuch kaoa imekuwa shida mkewe nafkiri analia evrdy
 
hivi kufyokonyoa simu ya mpenzi wako mume wako iliiweje ... mimi weka hapo utajijua tu elimradi matumizi yangu yawepo na kumsisitiza kutumia kinga huko anaporuka ruka inatosha siwezi kufa kisa kidudu loh

huyo mwenye kidudu mmmmmh..........
 
Back
Top Bottom