Mke wa zamani wa Bilionea Bill Gates kwenye mahusiano mapya

Unapokuwa tajiri sana na mtumwa wa hela, unakuwa busy sana, ratiba iko tight kinoma, huna muda wa ku enjoy wala kula good time na mkeo.
Basi wale vijana makapuku ndio huwa
wanakusaidia kumburudisha mkeo.

Ninakataa kuwa mtumwa wa pesa, pesa zitanitumikia na hazita nitesa.
A
 
Msifanye masihala na upweke kuna muda itafika kipindi uinaona unahitaji mtu.

Kuna wale mimi nitazalisha sioi kuna mda hasa 50+ lazima afeel upweke.

Alafu kuna wale dada zangu "......mimi nina hela yangu nina kazi yangu mwanaume wa nini najitimizia mahitaji yangu mwenyewe.........sijui nini na nini.............." hawa wanakuwaga na hali mbaya mpaka unawaona kama wamechanganyikiwa,japo financial yupo stable.

Wawili wawili tu sababu sio kila kitu kinahitaji hela sometimes unahitaji kupendwa, kufarijiwa, kupewa nguvu na moyo unapopitia magumu.........unahitaji msiri nk.
 
Kwani mbususu yenye mvi haina genye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kaah..hapana bwana nyege za uzeeni tena[emoji16][emoji16][emoji16]sidhani km wanafeeel chochote...mwanamke tena jamani[emoji38][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1]
 
Ngoja na we ufikie huko ndiyo utajuwa

Ova
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]wanawake wa kibongo wengi umri huo wakiwa wajane wanatulia mnoo siwaoni wakihangaika la da hii mishangazi ya mjini ndo Ina mambo meusi ila huku kwetu mitaani wengi wanakua wanalea vijukuu,kusali, kuswali,kufuga n.k yaani wengi wanakua wanarudi kwa Mungu wao
 
Ewaa hapo sawa kampani ya kuongea nayo,ushauri n.k mmekuelewa Sasa![emoji38][emoji38]
 
Ila wazungu bwana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!!uzee huo Bado anatafuta bwana [emoji16] so saad
Ogopa sana kitu kinaitwa upweke. Ukifiwa na mwenza au mkiachana ukiwa mzee utaelewa nachokwambia. Maana uzeeni hata watoto wako hawatakaa na wewe. Watakuwa zao busy na mambo yao

Mtu pekee wa kukupa faraja ni mwenza wako
 

Kuna mambo nyuma ya pazia, hao wa kibongo ukute wanafanya Kwa kujificha, ogopa kitu kinaitwa upweke, hata usali sala gani upweke hauondoki....na ndo mana Mungu hakumuacha Adam peke yake, akampa mwenza.....ni maumbile.
 
Wabongo tumezoea maisha ya kukariri ngojea wenzetu watuoneshe namna ya kuishi
 
Ngoja tuone Bill gate yeye ataopoa goma gani?

Hivi sababu za kuachana na mtalaka wake zilisemekana kuwa nini ?
 
Watu wanataka kupelekewa moto vizuri basi hizo zingine mbwembwe tuu.
Wee mtombee demu vizuri kila leo atakuwa anakuletea

Sidhani kama ni kweli mkuuu,Kuna dwmu nilachana nae kwa sababu ya rafiki yake,Wa mwanzo alikuwa anapenda sana kuchakachwa,na akawa anamsimulia mwenzie ila huyu mwenzio hataki hayo mambo anasema anapenda nnavyokuwa kwakwe....dushe mara chache sana kuniomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…