Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Unapokuwa tajiri sana na mtumwa wa hela, unakuwa busy sana, ratiba iko tight kinoma, huna muda wa ku enjoy wala kula good time na mkeo.
Basi wale vijana makapuku ndio huwa
wanakusaidia kumburudisha mkeo.
Ninakataa kuwa mtumwa wa pesa, pesa zitanitumikia na hazita nitesa.
Basi wale vijana makapuku ndio huwa
wanakusaidia kumburudisha mkeo.
Ninakataa kuwa mtumwa wa pesa, pesa zitanitumikia na hazita nitesa.
AMke wa zamani wa Billionea wa Microsoft Bill Gates, Bibi Melinda Gates (58) ameangukia kwenye penzi jipya na Mwana habari Jon Du Pre.
Wawili hao walionekana Kwenye mchezo wa Kikapu pamoja na muda mwingine kwenye Mapumziko Binafsi.
Kwa mujibu wa TMZ kupitia vyanzo vyao vya kuaminika inaonesha wawili hao ni wapenzi wa muda na wamekuwa wakionekana sehemu kadhaa pamoja lakini hawajaeleza ni lini walikutana.
Jon Du Pre ni mwandishi nguli wa zamani mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 35 katika utangazaji, uzalishaji wa video na uandishi.
Bill na Melinda ndoa yao ilivunjika baada ya kudumu kwa takribani miaka 25.