Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

We unatakaje kwani Eve, lile penzi la kuwekana kwenye gari, bafuni, kugeuzana kama mishkaki...au lile la,chumbani kwa kitanda, kifo cha mende, umelala zako kama gogo, akimimina wazungu unasema asante mume wangu🤣🤣🤣
Ewaaaa hizo purukushani ndo zenyewe sasa, hiyo ya ahsante mme hapana....huyo mlokole akatafute wapendwa wenzie huko church
 
Kuna mdada alinambia eti ye na mme kabla hawajanjunjana wanasali kwanza, sasa ukisali kuna kuzama chumvini kweli? Na mambo mengine mchanganyiko???🙄
Aaahaaaa

Miye huwa nageuza kwa nyuma napiga kama naua

Kuna mpka nabaka,anaksirika asubuhi ikifika jioni tunacheka

Kikubwa fanya yote but don't cross the forbidden line

Akiniambia nimfunge sidiria Kuna 80% ya mtu kuchezea paipu from behind

Na hivi kitanda changu kipilo juu usawa wa kiuno

Hapo ni kumsukumia kitandani tu na kumbana shingo ni mwendo wa kumparachute tu
 
Siku zote huwa nasema mwanamke anapenda amsha amsha. Yan akae haoni mwanaume akifanya harakati zozote? Nayeye anaanza kujishtukia kama vile hayuko sehemu salama. Mpe amsha amsha kidogo akili imkae sawa.

Amsha amsha inaweza kuwa kwenye game(toa utakatibu wako peleka moto na usimuonee huruma) pia kwa vitukio vidogo vidogo(vi message na simu zisizoeleweka, mara simu unapokelea pembeni au una mute), mbadilishie ratiba yan asiizoee ratiba yako. Hii inampa nafasi ya kujitafakari nafasi yake kwako na kwenye ndoa.

N.B sio mara zote hiyo mbinu itafanikiwa kwa sababu wanatofautiana. Kuna mwingime ukimpiga katukio kamoja tu ndio ushampoteza, muhimu kujua wa kwako yukoje. Hayana formula pia msiendekeze utakatifu mnoo
Yaani ubadili mienendo yako mema kwa Mungu kisa shetani mmoja? NO WAY!!
 
Back
Top Bottom