Robidinyo
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 4,043
- 8,686
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We sema tu, utakatifu wa jamaa ulifika hadi chumbani, akawa hazami uvinza, hachezei kibeans wala kupeleka moto vile unavyotaka🤣Shida ipo hapo, penzi lilikosa amsha amsha
🤣🤣🤣🤣We sema tu, utakatifu wa jamaa ulifika hadi chumbani, akawa hazami uvinza, hachezei kibeans wala kupeleka moto vile unavyotaka🤣
Huyu alitaka me mhuni, anapiga pipe, anazama kotekote🤣🤣🤣
We unatakaje kwani Eve, lile penzi la kuwekana kwenye gari, bafuni, kugeuzana kama mishkaki...au lile la,chumbani kwa kitanda, kifo cha mende, umelala zako kama gogo, akimimina wazungu unasema asante mume wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Penzi la kilokole michosho bana
Ewaaaa hizo purukushani ndo zenyewe sasa, hiyo ya ahsante mme hapana....huyo mlokole akatafute wapendwa wenzie huko churchWe unatakaje kwani Eve, lile penzi la kuwekana kwenye gari, bafuni, kugeuzana kama mishkaki...au lile la,chumbani kwa kitanda, kifo cha mende, umelala zako kama gogo, akimimina wazungu unasema asante mume wangu🤣🤣🤣
Ukitaka kula mzigo mpaka msali kwanza🤣🤣🤣🤣
Penzi la kilokole michosho bana
Mdada wa kisukuma anayependa kula bila kubakisha🤣🤣🤣Ewaaaa hizo purukushani ndo zenyewe sasa, hiyo ya ahsante mme hapana....huyo mlokole akatafute wapendwa wenzie huko church
Kuna mdada alinambia eti ye na mme kabla hawajanjunjana wanasali kwanza, sasa ukisali kuna kuzama chumvini kweli? Na mambo mengine mchanganyiko???🙄Ukitaka kula mzigo mpaka msali kwanza
AaahaaaaKuna mdada alinambia eti ye na mme kabla hawajanjunjana wanasali kwanza, sasa ukisali kuna kuzama chumvini kweli? Na mambo mengine mchanganyiko???🙄
hawanaga akili hao mzee yalishanikuta zaid ya maramoja, achana nao kenge hao.Anataka afumanie..!! Eti kachoka maisha matakatifu..!! yaani shemela, siwaelewagi wallah..!! huyu anapewa hiki lakini anakilalamikia kile..!!
Noms sana!Methali 31:3
Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.
🙌🙌Shida ipo hapo, penzi lilikosa amsha amsha
Yaani ubadili mienendo yako mema kwa Mungu kisa shetani mmoja? NO WAY!!Siku zote huwa nasema mwanamke anapenda amsha amsha. Yan akae haoni mwanaume akifanya harakati zozote? Nayeye anaanza kujishtukia kama vile hayuko sehemu salama. Mpe amsha amsha kidogo akili imkae sawa.
Amsha amsha inaweza kuwa kwenye game(toa utakatibu wako peleka moto na usimuonee huruma) pia kwa vitukio vidogo vidogo(vi message na simu zisizoeleweka, mara simu unapokelea pembeni au una mute), mbadilishie ratiba yan asiizoee ratiba yako. Hii inampa nafasi ya kujitafakari nafasi yake kwako na kwenye ndoa.
N.B sio mara zote hiyo mbinu itafanikiwa kwa sababu wanatofautiana. Kuna mwingime ukimpiga katukio kamoja tu ndio ushampoteza, muhimu kujua wa kwako yukoje. Hayana formula pia msiendekeze utakatifu mnoo
😄😄😄mkuu unahisi sio mbavu zako zilizotoa hicho kiumbeMna uhakika hivi viumbe vilitoka ubavuni mwetu?