Mke wako ana bosi wake?

Ana hoja asipuuzwe, ila kaileta muda mbaya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa mwanamama kaajiriwa na sote tunajua kwenye ajira kuna walio juu, kati na chini...

Kisa tu ni mwanamke mwenye ndoa ndio asipangiwe safari na boss wake, eboh!

Kama hutaki mke asafiri, mfanye awe maza wa nyumbani umuhudumie...
 
Huyo kuna kitu kamaanisha, kwamba hiyo safari huyo mwanamke anasafiri na boss wake, na mumewe hana tatizo anakubali??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…