Mke wako ana bosi wake?

Mke wako ana bosi wake?

Shida ipo wapi kwani?

Mumeo ana boss mwanamke?

Kwa hiyo anapewa maelekezo ya kusafiri na Boss na umekaa umetulia tu..

Kama ni majukumu ya kikazi, hakuna nongwa.

Jamaa ana mawazo ya kipimbi kweli, si bora aliwe na boss kuliko kuliwa na bodaboda.

Wasafiri tu hata waende nchi za nje mke wangu we nenda hata mwezi, ili mradi kazi ifanyike
 
Boss wangu akimtaka binti hata kama ni mke wa mtu anampa safari yeye anafuata mchezo umeisha.
Kuoa mfanyakazi ni kukubali kukalia bomu la nyuklia kwa makusudi
 
Boss wa mumeo ambaye ni mwanamke mzuri amepanga safari ya kikazi na mumeo kwa wiki mbili Dubai.
Ni sawa. 😁😁
Wasiwasi wa nini kwa mtu wako unayemuamini & kujiamini?
 
Kuna mademu ambao Wana asilimia 99.96 za kuliwa kazini na mabosi wao Tena wanaambiwa TU vua chupi weka pale.
1:ma sekretari.
2:mademu wahudumu wa ndege.
3:wahudumu wa bar.
4😀emu anayedaiwa mkopo
 
Kuna mademu ambao Wana asilimia 99.96 za kuliwa kazini na mabosi wao Tena wanaambiwa TU vua chupi weka pale.
1:ma sekretari.
2:mademu wahudumu wa ndege.
3:wahudumu wa bar.
4😀emu anayedaiwa mkopo
Hapo labda ondoa ma air hostess tu, wengine wako hatarini sana.
 
Adam mtu wa mwanzo alikuwa na mke...
Ibrahim baba wa imani alioa...
Mfalme Daudi alioa...
Mfalme Sulaiman alioa tena wake wengi tu...

Hauna hoja...
Hao uliowataja una uhakika walishawahi kuwepo kwa ushahidi na sio nadharia?
 
Back
Top Bottom