Mke wako ana bosi wake?

Mke wako ana bosi wake?

😁😁 mpaka nikafikia kusema Yes I do to him means mliobaki na watakaozaliwa wapya wote hamna jipya kaka zangu
nimefikiria tu hapa nikutane na pisi kali, slim figure, yenye vidimpo kazini, afu tunavibe😂

niache kuiwekea? hata kaquickie?

labda sio mshamba mimi
 
Kama hupendi kuoa acha tu maana ck hizi ni majanga tu

Mkeo atakazwa popote tu [emoji1787] hata akiwa mm wa nyumbani

Tena mama wa nyumbani anpumuliwa kitandani kwako
 
nimefikiria tu hapa nikutane na pisi kali, slim figure, yenye vidimpo kazini, afu tunavibe😂

niache kuiwekea? hata kaquickie?

labda sio mshamba mimi
Siku hizi mnaweka na kwenye tudimpo? 😁 tudimpo ulemavu tu ule usikutishe.

Haha! Mshamba wewe mimi nakuambia achana na mapenzi kazini. Yakiisha kuna rangi hutoacha kuziona.
 
Apambane na mke wake kama hawaaminiani...

Maana hata akimfanya mama wa nyumbani, yeye akiwa kazini huku nyuma maskani kuna vijana watamzibua tu...
Bora nyumbani huwazi sana usiku ukirudi unamkuta, huyo wa semina sasa.!!
Halafu simu iwe haipatikani akwambie chaji imeisha na ukiangalia nchi ipo kwenye mgao 🤣🤣🤣
 
Adam mtu wa mwanzo alikuwa na mke...
Ibrahim baba wa imani alioa...
Mfalme Daudi alioa...
Mfalme Sulaiman alioa tena wake wengi tu...

Hauna hoja...

Hoja anayo. Wewe ndie huna hoja maana umetaja fiction characters tupu. Ambao hakuna evidence kuthibitisha kama kweli wamewai kuwepo duniani.. nje ya kuandikwa kwenye vitabu vya dini.

Ila kuna newton kuna evidence nyingi zinazothibitisha kwamba ni kweli wamewai kuwepo duniani. Na hata makaburi yao yapo. Records zao za kazi walizozifanya duniani zipo zimenyooka
 
Kuna watu huwa mnapenda kurukia rukia tu vitu...

Wewe unaona katajwa Isaac Newton tu pekee hapa chini?

Ongeza Isaac newton, franz kafka, the apostle paul, prophet daniel, jeremiah kwa kweli GREAT FIGURES of the past hakuwah kujihusisha na mapenz..
 
Back
Top Bottom